Waziri Jumaa Aweso, kanisa lililojengwa bila kibali lajiunganishia maji na kuiba maji ya Tuwasa mchana kweupe

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
30,254
2,000
Udini unatusumbua sana sasa Walokole kuabudu Mungu wao kuna kosa gani
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,145
2,000
Hiki kitu hakijakaa sawa kabisa yaani!!!
kitu gani hakijakaa sawa, au na wewe ni mmojawapo ya watu wasiopenda makanisa? fafanua, ni story ya huyu jamaa haijakaa sawa kwasababu inaonekana ni ya kimbeya na uongo, au umeamini story hiyo hivyo unalaumu kanisa bila hata kuwasikiliza upande wao kujua kama madau ya huyu mhuni ni ya kweli au la.
 
Feb 25, 2021
54
125
si ukute wewe ndiye mhuni, kama hawana unafikiri wanapata wapi ujasiri wa kuendelea na ujenzi? wewe ndiye afisa ardhi mtoa vibali? kama ndiyo basi unatakiwa utumbuliwe kwa kutowachukulia hatua na kuja kulalamika hapa, kama sio basi hauna mandate ya kubeza kwasababu wewe sio mshika majalada ya vibali vya ardhi. tuliza mshono.
Kosa liko palepale au ndio ulivyoandika hivi kosa limeondoka la kuiba maji .
 
lunatoc

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
1,568
2,000
Mwenye namba ya waziri wa maji na ardhi please anipe .
Namba ya Waziri wa maji hiyo hapo.

Mpigie.
IMG_20210512_125044.jpeg
 
Feb 25, 2021
54
125
kitu gani hakijakaa sawa, au na wewe ni mmojawapo ya watu wasiopenda makanisa? fafanua, ni story ya huyu jamaa haijakaa sawa kwasababu inaonekana ni ya kimbeya na uongo, au umeamini story hiyo hivyo unalaumu kanisa bila hata kuwasikiliza upande wao kujua kama madau ya huyu mhuni ni ya kweli au la.
Wewe hilo sio kanisa ni genge la wahuni wajasilia dini , kanisa gani wezi ? Hawana usajili , hawana kibali cha ujenzi , documents ninazo naona wenyejamii forum wananibloku nisiziweke lakini zipo za kutosha concrete evidence .
 
Feb 25, 2021
54
125
huyu ni mhuni fulani tu mbabe wa mtaani asiyependa makanisa wala kuheshimu imani za watu wengine, hana ushahidi wa uhalali wa kinachoendelea.

Hana mandate kupeleka lalamiko kwa ofisi ya serikali husika, amekuja hapa kuleta umbea tu, anatakiwa kupuuzwa. kama kweli umezibwa njia hakuna mtu ambaye angekuwa amebako home hadi sasaivi angeshaenda ofisi za ardhi kushitaki zamani sana na wangeshapigwa stop.

Ukiona anakuja huku anonymous kushambulia mtu jua ni mhuni na mbeya asiye na maana.
Pengine ndio mara ya kwanza kulisikia hili sakata , soma Sakata La Kanisa Lililojengwa Kuziba Barabara Na Kupiga Muziki Masaa24 Kumbe Ni Genge La Wahuni , hakuna anayeonea mtu hata afisa mipango miji mwenyewe amekiri hawana kibali chochote wewe unapinga Kama nani ?
 
Feb 25, 2021
54
125
Udini unatusumbua sana sasa Walokole kuabudu Mungu wao kuna kosa gani
Haulali unaamka unaenda popote barabarani unafika unajenga kanisa kuna utaratibu wewe mlokole gani hujui utaratibu ? Vitu vya msingi usajili wa kanisa , kibali cha kuendesha ibada , ramani ya ujenzi iliyopitishwa na mamlaka husika , tangazo la kubadili matumizi ya kiwanja husika ndani ya siku tisini huelewi nini? Unajitoa ufahamu sabato masalia kwenda Israeli bila nauli .
 
Feb 25, 2021
54
125
kitu gani hakijakaa sawa, au na wewe ni mmojawapo ya watu wasiopenda makanisa? fafanua, ni story ya huyu jamaa haijakaa sawa kwasababu inaonekana ni ya kimbeya na uongo, au umeamini story hiyo hivyo unalaumu kanisa bila hata kuwasikiliza upande wao kujua kama madau ya huyu mhuni ni ya kweli au la.
Usajili wa kanisa hawana , kibali cha ujenzi hawana , kibali cha muda kuendesha ibada , ramani iliyopitishwa na mamlaka husika tangazo la kubadili matumizi ya eneo husika ndani ya siku tisini , wizi wa maji , kuunganisha maji bila kibali cha mamlaka husika huelewi nini ?
 
King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
956
1,000
huyu ni mhuni fulani tu mbabe wa mtaani asiyependa makanisa wala kuheshimu imani za watu wengine, hana ushahidi wa uhalali wa kinachoendelea.

Hana mandate kupeleka lalamiko kwa ofisi ya serikali husika, amekuja hapa kuleta umbea tu, anatakiwa kupuuzwa. kama kweli umezibwa njia hakuna mtu ambaye angekuwa amebako home hadi sasaivi angeshaenda ofisi za ardhi kushitaki zamani sana na wangeshapigwa stop.

Ukiona anakuja huku anonymous kushambulia mtu jua ni mhuni na mbeya asiye na maana.
Hiyo rushwa yenu mnayompa afisa mipango miji ipo siku mtakwama tu .
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
30,254
2,000
Haulali unaamka unaenda popote barabarani unafika unajenga kanisa kuna utaratibu wewe mlokole gani hujui utaratibu ? Vitu vya msingi usajili wa kanisa , kibali cha kuendesha ibada , ramani ya ujenzi iliyopitishwa na mamlaka husika , tangazo la kubadili matumizi ya kiwanja husika ndani ya siku tisini huelewi nini? Unajitoa ufahamu sabato masalia kwenda Israeli bila nauli .
Nadhani ni vizuri Serikali ikawasaidia kuwapa vibali ili waendelee na Ibada,Imani ya kwenda Israel bila nauli ni Imani
 
livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,943
2,000
Kama mtakumbuka mwezi mmoja au miwili iliyopita nilileta taarifa ya kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 mtaa Kariakoo kata ya Kitete.

Baada ya viongozi wa mkoa, wilaya, afisa mipango miji manispaa, mtendaji kata, mwenyekiti wa mtaa, afisa mtendaji wa mtaa kuwaendekeza kwa sababu ya rushwa wamewekwa mfukoni, sasa wameamuia kuiba maji, kujiunganishia maji bila kibali, bila kulipia wala kufuata utaratibu wowote ule, waziri wa maji, ardhi kazi kwenu huku Tabora kuna viongozi wa ajabu sana.

Ninavyoandika wapo wanaendelea na shughuli ya kujiunganishia maji mchana kweupe, Meneja amepigiwa simu anasema atafuatilia wakati watu wapo saiti sasa hivi wanafanya uhalifu, Tabora oyeeeee.

Tupe hata picha , umbea bila picha haunogi
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,145
2,000
Usajili wa kanisa hawana , kibali cha ujenzi hawana , kibali cha muda kuendesha ibada , ramani iliyopitishwa na mamlaka husika tangazo la kubadili matumizi ya eneo husika ndani ya siku tisini , wizi wa maji , kuunganisha maji bila kibali cha mamlaka husika huelewi nini ?
kitu nisichoelewa ni kuhusu wewe ambaye sio afisa ardhi/mipango etc, unapoongea as if wewe ndio mtoa mamlaka ya kufanya kitu fulani ujenzii etc. yupo afisa husika mwenye mamlaka kufanya hivyo ambaye atakuwa na jibu linaloaminika. labda utuambie wewe ni afisa mwenye kutoa vibali na umeangalia kwenye jalada la eneo hilo ukaona vielelezo vyote hivyo hakuna, na kama wewe ni afisa inakuaje uje hapa kulalamika badala ya kuchukua hatua kimyakimya? inaonyesha wewe ni raia tu unayehisi hisi tu kwamba pengine hawana vibali hivyo. halafu, hivi kuna kibali cha saa ngapi usali na saa ngapi usisali? na kwa upande mwingine pia kutakuwa na vibali saa ngapi uswali na saa ngapi usiswali? unajua unachoongea?
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,111
2,000
Tatizo siyo hilo kanisa.Tatizo ni serikali ya kifasidi ya CCM.Hapo kuna mtu ameshakula cha juu tayari.Tunapowaambia kuwa CCM ni mafisadi muwe mnasikia!
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,145
2,000
Umeitwa ? Kama mada haikuhusu pita kushoto empty head tabulalasa .
ungekuwa ni mmiliki wa jf ungekuwa na mandate kusema nipite nisicomment, ukishaweka mada hapa ina maana ni ya member wote humu ndani wanawezafanya chochote. tengeneza jf yako ili uwe na mamlaka ya kidikteta kama hayo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom