Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,473
- 19,265
aliyeibiwa alitakiwa kwenda polisi, ukiona hajaenda kuripoti polisi ujue hakuna kilichoibiwa hapo. mnapiga porojo tu. acheni watu wasali hata kama wanawapigia kelele na kusumbua mapepo yenu.Kosa liko palepale au ndio ulivyoandika hivi kosa limeondoka la kuiba maji .