Waziri Jenister Mhagama acha kutudanganya Watanzania, Vifo vya UKIMWI havijawahi kupungua Tanzania

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Mhagama.jpg

Vifo vya UKIMWI vyapungua Tanzania.

Matumizi ya dawa za kufubaza VVU yameongezeka kutoka 95% mwaka 2016 hadi 98%, 2019, vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000, 2020 na maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yameshuka kutoka 18% mwaka 2010 hadi 7% mwaka 2020 - Waziri Mhagama

Chanzo: Habari Leo

Tena ndiyo Wanakufa kwa Kasi mno.
 
Vimepungua ndio maana takwimu zimehamia kwenye Corona....magonjwa Kama kifua kikuu na mengi dizain hyo ambayo wahanga wakuu ni waathirika wa HIV record zake zmepotelea kwenye uviko 19
Je, kushusha Takwimu ya Vifo vya UKIMWI kwa kuvihamishia katika Janga lililopo sasa la UVIKO-19 Kwako Wewe ni Akili au Matope tu Ndugu?

Acheni Siasa katika Mambo haya makubwa, mazito na ya Kisayansi na Wengine tunasema kuwa Vifo ni vingi kwakuwa tuko katika Jamii.

Na hata Watu wa TACAIDS na Wizara ya Afya tuko nao karibu na wanasema UKIMWI upo na unapukutisha Watu tena wengi kuliko ambavyo tunaficha na kudhani.
 
S

Izungumzii siasa Wala hawafanyi makusudi la hasha!!!!, Sahizi ajemda kuu ni covid hata hospital ukienda kwa tatzo la kawaida la kikohozi wanaku covid .....data hazipikwi Ila neture na Hali ndo imeamua
 
Pamoja na yote huwa namkubali Sana mhagama

USSR
Kuna mahala popote nimesema simkubali? Ninachopingana nae tu ni Kutudanganya kuwa Vifo vya UKIMWI vyapungua Tanzania. Hili nitambishia mpaka Kiama kije.
 
Back
Top Bottom