AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Kama kathubutu kuhatarisha usalama wa nchi na kutoa nafasi ya Ukurugenzi mkuu wa NSSF kwa raia wa kigeni (UGANDA) najiuliza maswali mengi ambayo hata majibu sina
Huyu waziri wa Rais Magufuli allegiance yake iko wapi?
Nashauri kitengo cha ya counter intelligence pale TISS wammulike na wapitie records za safari za nje, watu aliokutana nao, watu wa Signit wapitie comms na records zake zote za kipindi cha miaka kumi kurudi nyuma, pia nashauri maamuzi yake ya nyuma nayo yaangaliwe upya kwani inawezekana she's on a covert mission ku destablize taifa hili. Access zake nazo nashauri zipitiwe.
Kwa kweli this is beyond betrayal kwa wazalendo wa nchi hiii sipati picha leo Magufuli atalala huku anajiskiaje kuona waziri wake ni mole tena mole mwenyewe ni kwa msalahi ya taifa la nje.