mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,994
Wakuu,
Kumekuwepo na nyuzi humu nyingi kulalamikia taasisi ya kihuni ya kinyonyaji ya Bayport karibu kila siku kuna lawama dhidi yao.
Serikali imeendelea kukaa kimya, najiuliza hawa Bayport ni mfupa uliomshinda Rais Magufuli? Au maisha ya mfanyakazi hayana maana yoyote kwenu?
Je, hampokei malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyakazi au mna interest?
Tukienda kwenye story, kuna mtendaji wa Kijiji mdogo wake alijikata na kifaa chenye ncha Kali.
Ameshindwa kumuuguza licha ya kusubmitt kadi yake kwa wahuni Willium Credit wakati fulani aliponyimwa balance na Bayport.. now Hana salary anadaiwa mpaka salary advance.
Wakuu mguu wa dogo nimeshindwa kuutazama hali ni mbaya sana ila ni zao la kimasikini hajaweza kumtibu.
Amepambana sana na balance hawataki kumpa. Tusipoingilia kati atazika ndugu yake huyu hakuna anayejali.
Kama Kuna mtu ana sauti dhidi ya Hawa wahuni ninaomba aje PM tuangalie namna ya kumsaidia huyu kijana , ameniomba sana kwa vile anafahamu mimi ni mdau JamiiForums.
Hata wewe waziri tafadhari umsaidie mtumishi wako ili aweze kukopesheka benki haya sio maisha.