Waziri Jenista Mhagama msaidie mtumishi huyu kabla hajajiua sababu ya Bayport

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
3,446
Points
2,000

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
3,446 2,000
Wakuu,

Kumekuwepo na nyuzi humu nyingi kulalamikia taasisi ya kihuni ya kinyonyaji ya Bayport karibu kila siku kuna lawama dhidi yao.

Serikali imeendelea kukaa kimya, najiuliza hawa Bayport ni mfupa uliomshinda Rais Magufuli? Au maisha ya mfanyakazi hayana maana yoyote kwenu?

Je, hampokei malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyakazi au mna interest?

Tukienda kwenye story, kuna mtendaji wa Kijiji mdogo wake alijikata na kifaa chenye ncha Kali.

Ameshindwa kumuuguza licha ya kusubmitt kadi yake kwa wahuni Willium Credit wakati fulani aliponyimwa balance na Bayport.. now Hana salary anadaiwa mpaka salary advance.

Wakuu mguu wa dogo nimeshindwa kuutazama hali ni mbaya sana ila ni zao la kimasikini hajaweza kumtibu.

Amepambana sana na balance hawataki kumpa. Tusipoingilia kati atazika ndugu yake huyu hakuna anayejali.

Kama Kuna mtu ana sauti dhidi ya Hawa wahuni ninaomba aje PM tuangalie namna ya kumsaidia huyu kijana , ameniomba sana kwa vile anafahamu mimi ni mdau JamiiForums.

Hata wewe waziri tafadhari umsaidie mtumishi wako ili aweze kukopesheka benki haya sio maisha.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
2,205
Points
2,000

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
2,205 2,000
Bayport again! Tukipumzika kidogo unashangaa mdau mwingine anawalalamikia platinum credit! WATUMISHI WENZETU, TAFADHALINI SANA! MKIWA NA SHIDA AU DHARURA YOYOTE ILE, MSIKOPE KWENYE HIZO TAASISI ZA KIFEDHA! KOPENI KWENYE VIKUNDI VYENU VYA KUSAIDIANA MAENEO YENU YA KAZI! AU BENKI KAMA CRDB, NMB, NBC, nk.

Nimeona niandike tu kwa herufi kubwa ili kuweka msisitizo maana inaumiza sana. Hao jamaa unaweza ukahisi ni wachawi! Kumbe ni zile mbinu zao tu wanazofundishana ili watuibie kirahisi. Riba zao ni za kuwakomesha wateja wao, hasa watumishi wa umma. Kiufupi tu huwa ni waongo wa kutupwa na hawaaminiki. Poleni sana wahanga wa hizo taasisi.
 
mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
2,422
Points
2,000

mmteule

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
2,422 2,000
Acheni kuharibu Biashara za watu. Watumishi ni Wasomi na kabla ya Mikopo wanapewa Vigezo na Masharti hapo shida iko wapi, tupunguze njaaa na malalamiko, Hao Bayport hawajakufuata bali wewe ndie umewafuata wakukopeshe. Kwanin hukwenda PBZ isiyo na Riba, why not NMB nk. Tuache lawama zisizo na msingi wasomi kabisaaa tunalia lia na sababu za kibwege ngoja tukamuliwe maaana hatuna akili. Acheni Bayport wawatieni akili maaana anayeenda huko mwenyewe hana akili.
 
Kabinti ka ludilo

Senior Member
Joined
Sep 30, 2014
Messages
193
Points
225

Kabinti ka ludilo

Senior Member
Joined Sep 30, 2014
193 225
Yaani vitu vingine si lazima u comment
Acheni kuharibu Biashara za watu. Watumishi ni Wasomi na kabla ya Mikopo wanapewa Vigezo na Masharti hapo shida iko wapi, tupunguze njaaa na malalamiko, Hao Bayport hawajakufuata bali wewe ndie umewafuata wakukopeshe. Kwanin hukwenda PBZ isiyo na Riba, why not NMB nk. Tuache lawama zisizo na msingi wasomi kabisaaa tunalia lia na sababu za kibwege ngoja tukamuliwe maaana hatuna akili. Acheni Bayport wawatieni akili maaana anayeenda huko mwenyewe hana akili.
 
M.A.W.I

Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
63
Points
125

M.A.W.I

Member
Joined Apr 29, 2013
63 125
Acheni kuharibu Biashara za watu. Watumishi ni Wasomi na kabla ya Mikopo wanapewa Vigezo na Masharti hapo shida iko wapi, tupunguze njaaa na malalamiko, Hao Bayport hawajakufuata bali wewe ndie umewafuata wakukopeshe. Kwanin hukwenda PBZ isiyo na Riba, why not NMB nk. Tuache lawama zisizo na msingi wasomi kabisaaa tunalia lia na sababu za kibwege ngoja tukamuliwe maaana hatuna akili. Acheni Bayport wawatieni akili maaana anayeenda huko mwenyewe hana akili.
Kiongozi tulio nyuma uku hatujasikia vizuri tafadhari ongeza sauti unasema tuache nn?
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
4,959
Points
2,000

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
4,959 2,000
Wakuu,
Kumekuwepo na nyuzi humu nyingi kulalamikia taasisi ya kihuni ya kinyonyaji ya Bayport karibu kila siku kuna lawama dhidi yao.
Serikali imeendelea kukaa kimya, najiuliza hawa Bayport ni mfupa uliomshinda Rais Magufuli? Au maisha ya mfanyakazi hayana maana yoyote kwenu?
Je, hampokei malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyakazi au mna interest?
Tukienda kwenye story, kuna mtendaji wa Kijiji mdogo wake alijikata na kifaa chenye ncha Kali.
Ameshindwa kumuuguza licha ya kusubmitt kadi yake kwa wahuni Willium Credit wakati fulani aliponyimwa balance na Bayport.. now Hana salary anadaiwa mpaka salary advance.
Wakuu mguu wa dogo nimeshindwa kuutazama hali ni mbaya sana ila ni zao la kimasikini hajaweza kumtibu. Amepambana sana na balance hawataki kumpa. Tusipoingilia kati atazika ndugu yake huyu hakuna anayejali.
Kama Kuna mtu ana sauti dhidi ya Hawa wahuni ninaomba aje PM tuangalie namna ya kumsaidia huyu kijana , ameniomba sana kwa vile anafahamu mimi ni mdau JamiiForums.
Hata wewe waziri tafadhari umsaidie mtumishi wako ili aweze kukopesheka benki haya sio maisha.
Umeshindwa kuwalinda wazee wastaafu wanaofanyiwa ukatili wa malipo ya NSSF ya kila mwezi!
 
Forum statistics

Threads 1,343,600
Members 515,110
Posts 32,790,705
Top