Waziri January Makamba mgeni rasmi kongamano la Madini na Nishati

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Leo kutakuwa na Kongamano la Nishati na Madini Serena Hotel
Tutaongelea Ukuaji, Changamoto na Mustakabali wa sekta ya nishati na madini nchini Tanzania
Litarushwa Live cloudsdigital & Mwananchi Digital

Tanesco The Citizen MwanaSpoti #Songaslimited #Epiroc

#TogetherAt60
#Miaka60Pamoja

FB_IMG_1634275493686.jpg
FB_IMG_1634275487645.jpg

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Wananchi wanahitaji umeme wameshakamilisha taratibu zote ZA REA,enendeni huko mkawawekee umeme.
 
Kongamano zimekua nyingi ila haijabidiri hali kwa muda wote wa miaka 60 sisiyemu madarakani
 
Leo kutakuwa na Kongamano la Nishati na Madini Serena Hotel
Tutaongelea Ukuaji, Changamoto na Mustakabali wa sekta ya nishati na madini nchini Tanzania
Litarushwa Live cloudsdigital & Mwananchi Digital

Tanesco The Citizen MwanaSpoti #Songaslimited #Epiroc

#TogetherAt60
#Miaka60PamojaView attachment 1974874View attachment 1974876

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Kwenye kongamano hilo, Mr Simon shayo Makamu wa Rais wa Geita Gold mines atuambie serikali ya Tanzania ina share Kiasi gani huko GGM? Na Rais mkapa Ana share kiasi gani huko GGM Tanzania. Historia inapnyesha simon shayo ni ndugu wa mama Mkapa, hivyo shayo yuko GGM huko Tanzania kulinda Maslahi ya shemeje yake , Leo anaunganishwa na viongozi wako wa serikali? Prof Manya alikuwa mtumishi wa GGM miaka ya 2000 hili ina mana ulifahamu? Tanzania inaliwa tu
 
Asante kwa taarifa hii,, nchi hii kunakuzuga kwingi
 
Kwenye kongamano hilo, Mr Simon shayo Makamu wa Rais wa Geita Gold mines atuambie serikali ya Tanzania ina share Kiasi gani huko GGM? Na Rais mkapa Ana share kiasi gani huko GGM Tanzania. Historia inapnyesha simon shayo ni ndugu wa mama Mkapa, hivyo shayo yuko GGM huko Tanzania kulinda Maslahi ya shemeje yake , Leo anaunganishwa na viongozi wako wa serikali? Prof Manya alikuwa mtumishi wa GGM miaka ya 2000 hili ina mana ulifahamu? Tanzania inaliwa tu
SEREKALI INA SHARE
GGM WANA SHARE
MKAPA ANA SHARE IS THIS POSSIBLE?,UTAKUWA NI UFISADI PAPA,ZIRUDISHWE SEREKALINI.
 
Back
Top Bottom