Waziri Januari Makamba hakikisha mradi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere unakamilika

Makamba Tafadhali sana tunaomba huo mradi ukamilike kwa wakati.
 
wapinzani wa bongo wangekua wanajitambua basi huu mradi usingeirudisha ccm 2025, maana ninajua hautakamilika kutokana na waziri alieteliuwa waziri wa nishati kua ni zero yaaani seti tupu kabisa hio.
 
wapinzani wa bongo wangekua wanajitambua basi huu mradi usingeirudisha ccm 2025, maana ninajua hautakamilika kutokana na waziri alieteliuwa waziri wa nishati kua ni zero yaaani seti tupu kabisa hio.
Empty set kwa kweli
 
Awamu iliyopita watendaji wa shirika walikua wanaogopa kumwambia marehemu ukweli kuwa tunahitaji kuboresha miundombinu yetu ili tupate umeme wa uhakika.

Kwa sasa nina imani na waziri januari na timu yake hawafanyi kazi kwa uoga bali wanasimamia mabadiliko na matokeo sahihi. Keep in mind umeme wa Hydropower unategemea hali ya hewa.
map-bu yako unadhani sisi wajinga?
 
Tengenezeni bwawa. Tuache visingizio vya hali ya hewa.

Mvua zitanyesha na mvua ya siku mbili tu yatosha kujaza bwawa. Usicheze na mbingu.

Hydropower inategemea hali ya hewa Yes...hali ya hewa ni pamoja na eli nino wakati fulani
 
Back
Top Bottom