Swali langu limekuzidi umri,na uwezo.Wewe Ndio uniambie anahusika vipi wakati Kuna Baraza la madiwani hapo ndio limebuni huo mradi.
Wapi nimesema Jafo hausiki ?Swali langu limekuzidi umri,na uwezo.
Halmashauri zote zipo chini ya wizara anayoisimamia Jaffo.
Miradi yote inayoanzishwa na halmashauri zote lazima mpango upite ofisini kwake.
Na ndiyo maana huzindua miradi mbalimbali na kuifungua.
Mahalo pengine tumeona Jaffo akiwa mkali Kama Mambo hayako sawa.
Nimeona nikupe shule kidogo ili ubongo wako ukomae.
Sasa jibu swali hili:
Kama Jaffo hahusiki na miradi inaanzishwa na hamshauri kupitia madiwa kwani anaizindua au kuifungua?
Ila usipaniki tena,maana unaonekana unajaziba
Jenga hoja acha kupata Moto mdogo wangu,Wapi nimesema Jafo hausiki ?
Yani Baraza la madiwani ambalo ndio lipo kwenye mradi linashikdwa kusimaminia mradi ulio kwao Tena mradi ambao wanaenda kutumia wao mpaka Waziri aseme na Kama huoni kosa Basi wewe ni mpuuzi mkubwa.
Nyie kundi la madiwani mnashindwa kuona madudu mnataka kichwa kimoja ndio kije kuona Nyie ni wapuuzi.
Chagueni viongozi wanaojielewa pumbav wewe na sio kulia lia
Umenena vemaHabari za ndani zinasema, bajaj na pikipiki nyingi ni za viongozi wa hapo Manispaa, kwahiyo kuondoa stand kumeinu biashara zao za bajaj na pikipiki
Kwani mipango miji au kazi ya kupanga stendi zenu ni kazi ya Jafo ? Wewe ndio kiazi hakuna pahali Jafo anapitisha mipango ya Halmashauri zenu yeye kazi yake ni kusimamia value for moneyHuyu jamaa sio mtendaji makini ni mtoa kauli za ukali tu ila suala la utendaji wenye tija ni zero kabisa mkuu.
Kelele zenu tuu au debe tupu,haya tuambie aliiweza vipi? Tamisemi na Wizara ya Mambo ya Ndani ni ngumu na huwezi kufaulu usimamizi wake kwa kutegemea utazunguka Kila sehemuJafo maneno mengi lakini hamna kitu. Anaweza kuwa waziri wa kwanza kutumbuliwa awamu hii, na wizara yake ina mambo mengi sana. Simbachawene aliiweza ile wizara.
Wapumbavu hao Waziri ndio awapangie kwa kujenga stendi na kasoko yenu? Mda huo maviongozi waliowachagua nini?Waziri wa Tanzania nzima mnampa lawama za Morogoro?
Na mikoa mingine wamlaumu nani??
Stendi za kila mkoa ni kazi ya waziri??
Tuambie wewe unaejua kazi ya Waziri ni kuwapangia stendi na masoko yenu? Au wewe ndio mrundi hujui kitu?Waziri mwenye dhamani ya halmashauri zote nchini.
Au wewe ni mrundi hujui?
Yeye ni msimamizi wa sera za serikali,miongozo na maelekezo ya Baraza la mawaziri ,,watendaji ni wengine ila yeye hawezi kuwapangia nyie pa kujenga stendi au hospital au barabara yeye atakuja kuangalia value for money na je mpango mlioombea pesa kama mfano hizo stendi zimefanyika ilivyotarajiwa? Hayo mengine muulize DED na meyaKama hahusiki yupo kwa kazi gani?
Hebu eleza kwa akili happy.
Upumbavu ni sifa, hata wewe unayo.Wapumbavu hao Waziri ndio awapangie kwa kujenga stendi na kasoko yenu? Mda huo maviongozi waliowachagua nini?
Nimeshakujibu hapo juu kazi ya Waziri kwa mfano ikitokea mradi umekuwa hauna tija kwa watu Waziri anaweza kuwatumbua DED na wataalamu wengine waliohusika ila kazi yake sio kusema wapi kuwe na stend huo ujinga ulizaneni huko huko kwenuUpumbavu ni sifa, hata wewe unayo.
Mbona mnapata Moto, jengeni hoja yenye nguvu.
Waziri anawajibu wa Tanzania nzima, je morogoro hawana haki na hao mawaziri, wanaolipa Kodi ni Arusha, Tanga, mwanza nk? Tumieni akili mlizobaki nazo kidogo
Hawa wanaotetea jaffo Kuna Mambo mawili Aisha Wana maslahi nae au uwezo wao mdogo was kufikiri.Kuna mambo mengi ya kipuuz ambayo yalifanywa na watumishi wa umma kwa gharama ya walipakodi na yameharibika au wakaja kuvunja tena
Mifano iko mingi ila mm nakuja na mmja sehemu niliko walijenga kipande cha barabara kwa gravel wakati baada ya mwaka hakijaharibika wanakuja kuweka lami yaani pesa imepotea
Hii mada umeikurupukia tu, hujaielewa.Nimeshakujibu hapo juu kazi ya Waziri kwa mfano ikitokea mradi umekuwa hauna tija kwa watu Waziri anaweza kuwatumbua DED na wataalamu wengine waliohusika ila kazi yake sio kusema wapi kuwe na stend huo ujinga ulizaneni huko huko kwenu
Soma vizuri huenda ukaelewaYeye ni msimamizi wa sera za serikali,miongozo na maelekezo ya Baraza la mawaziri ,,watendaji ni wengine ila yeye hawezi kuwapangia nyie pa kujenga stendi au hospital au barabara yeye atakuja kuangalia value for money na je mpango mlioombea pesa kama mfano hizo stendi zimefanyika ilivyotarajiwa? Hayo mengine muulize DED na meya
Usiwe mbishi, kubali kukosolewa. Kuwa na udhaifu wa uelewa wa jambo fulani, siyo dhambi. Nakuhakikishia hutaenda jehanamu kwa kukubali mapungufu yako na kisha ukatulizana na kuanza kuyafanyia kazi ya kuyaondoa. Katika mada iliyomezani, kubali kuelekezwa, siku si nyingi utakuwa shujaa.Kama hahusiki yupo kwa kazi gani?
Hebu eleza kwa akili happy.