Waziri Jafo: Dirisha la ajira za walimu 13,000 wa msingi na sekondari kufunguliwa Jumatatu!

Niliwahi kusema mtu ambae hataki vyama vingi ni mtu hatari katika nyakati hizi,angalia sasa Nyoka aliejificha shimoni kdg kdg anatoa kiwili wili ili apumue mana joto limepanda huko nje!! Muwasha moto endelea kuchochea mpaka Nyoka atoe kichwa chake shimoni!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Bwahaaa bwahaaa, yaani nimecheka kwa nguvu ninaposikia chama chakavu kinacheza ngoma ya cdm. Hapo utasikia wiki ijayo ccm inaagiza wananchi wote kuwa na bima ya afya kuanzia tarehe 15 septemba. Lisu kamata hapo hapo, chama la wazee limeshatepeta.
Chadema inahusikaje hapo. Ajira za walimu wa sayansi zinatangazwa mara kwa mara, janga lipo upande wa waalimu wa masomo ya sanaa nafasi za kazi zimekuwa adimu , walimu wa sanaa wamejaa mashuleni
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.

Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.

Maendeleo hayana vyama!

Lissu kiboko yenu amewashushia rungu mmeshituka. Mlikuwa mnambeza sasa amekuwa mwiba mchungu kwenu.
 
Bwahaaa bwahaaa, yaani nimecheka kwa nguvu ninaposikia chama chakavu kinacheza ngoma ya cdm. Hapo utasikia wiki ijayo ccm inaagiza wananchi wote kuwa na bima ya afya kuanzia tarehe 15 septemba. Lisu kamata hapo hapo, chama la wazee limeshatepeta.

Ulitabiri vema mkuu, uchwara ashapaste tayari!
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.

Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.

Maendeleo hayana vyama!
Hizi ni chache miongoni mwa faida lukuki za upinzani wa kweli,sii upinzani kuunga mkono juhudi za m.kiti.
 
Back
Top Bottom