Waziri Jafo atangaza wiki moja ya "nyungu" season 3

Hivi ndivyo ninavyoweza kuitafsri kauli hii ya Suleiman Jafo ya kutangaza wiki ya nyungu iliyopewa jina la season 3.

Wamegundua hawawezi kwenda kinyume na Ulimwengu, ila tatizo likawa ni namna gani ya kujirudi na kukiri tatizo lipo, waweze kuandaa mazingira ya kukubali na kuipokea chanjo wakati ukifika hivyo wamelazimika kuja na habari hii ya kupiga nyungu.

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Ila mkuu mwaka jana tulishinda mafanikio dhidi ya corona kwa njia hizi hizi za kupiga nyungu.
 
chanjo ikipita ukiwa ujaitumia utaona motoo. iyo chanjo sio kwaajili ya corona ilio pita tu, new coming one wich twice killer ambayo inakuja kuchambua ambao hawana chanjo na walio nayo sasa kama hauja pata chanjo kifo ni lazima
 
View attachment 1689822

Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza rasmi kuanza kwa kampeni ya nyungu season 3. Amesema hayo akiwa mkoani Tabora katika ziara ya kikazi Rais mkoani humo.

Waziri jafo alinkukuliwa akisema “Rais Magufuli juzi ulisema Watanzania tuko salama, angalia Umati huu wote tuko salama, hapa Corona haina nafasi, tutaendelea kumuomba Mungu na umesema Watu wajifukize sana, Jumatatu tunaanza Kampeni nyingine ya Wiki moja Season 3 , nyungu kama kawaida“

"Rais [Magufuli] naomba nikwambie, Jumatatu tunaanza kampeni nyingine ya one week season three, nyungu kama kawaida. Tunajifukiza, tunakula matunda, tunamuomba Mungu. Tunaanza tarehe 1 mpaka tarehe 7, hatupoi, kazi inaendelea."-
Heeee!!! Kwani ipo ... ni ile mpya ya South Africa au ile old version ya Wuhan China

sinema za Gwala Tena bana saivi wameamua kuzitoa kwa Season na Episode ... CCM mmetisha

Mpaka Gwala ziishe server zitajaa movie kibao ... humo kutakuwa na Horrific, Comedy, Thrillers, True Stories, Actions safari hii mtacheza mpaka Pornography
 
When there is no cure....prevention is the only answer...
20210130_220258.jpg
 
Waziri wa serkali za mitaa nchini Tanzania ametangaza awamu ya tatu ya kupiga nyungu na kufanyika kampeni nchi zima kupitia serkaliz za mitaa .imeripot BBC

Kampeni hiyo ya nyumba kwa nyumba itaanza rasmi tarehe 1 .2.2021 nchi nzima na amwataka watanzania kuunga mkono juhudi za serkali kupambana na corona

Uchubguzi wa kijamii na kisayansi umeonesha kuwa corona ilikwisha Tanzania na imekuja tena na aina mpya ya virus ambavyo vilibainika afrika kusini na U.K.

USSR
 
Kwahiyo Ni mwendo wa kupiga nyungu..,😀😀😀😀 Basi sawa.
 
Heeee!!! Kwani ipo ... ni ile mpya ya South Africa au ile old version ya Wuhan China

sinema za Gwala Tena bana saivi wameamua kuzitoa kwa Season na Episode ... CCM mmetisha

Mpaka Gwala ziishe server zitajaa movie kibao ... humo kutakuwa na Horrific, Comedy, Thrillers, True Stories, Actions safari hii mtacheza mpaka Pornography
Hii muvi hairatibiw na ccm IPO chin ya who wao ndio wanasema kuna ya Wuhan,sauz afrika na uk
 
Back
Top Bottom