Waziri Jaffo: Zaidi ya watu milioni 11 wameshajiandikisha lengo ni watu milioni 26 hivyo zoezi linaenda vizuri sana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema zaidi ya wananchi milioni 11 wameshajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Lengo ni kuandikisha wapiga kura milioni 26.9 hivyo zoezi linakwenda vizuri.

Jaffo amesema zoezi lililega lega kidogo kwa sababu ya mvua za vuli zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ndio maana ameongeza muda wa siku tatu ili kutoa fursa kwa wale waliokwama waweze kujiandikisha.

Chanzo: ITV habari!
 
Source ITV habari!

!
!
Sasa Wameongeza Siku Za Nini Kama Zoezi Limeenda Vizuri?
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema zaidi ya wananchi milioni 11 wameshajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Lengo ni kuandikisha wapiga kura milioni 26.9 hivyo zoezi linakwenda vizuri.

Jaffo amesema zoezi lililega lega kidogo kwa sababu ya mvua za vuli zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ndio maana ameongeza muda wa siku tatu ili kutoa fursa kwa wale waliokwama waweze kujiandikisha.

Source ITV habari!

Labda kwa scale ya 1:50 (kwamba kwa kila mtu mmoja aliejiandikisha Jafo anazidisha mara 50).
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema zaidi ya wananchi milioni 11 wameshajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Lengo ni kuandikisha wapiga kura milioni 26.9 hivyo zoezi linakwenda vizuri.

Jaffo amesema zoezi lililega lega kidogo kwa sababu ya mvua za vuli zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ndio maana ameongeza muda wa siku tatu ili kutoa fursa kwa wale waliokwama waweze kujiandikisha.

Source ITV habari!
Hii Milioni 11 CCM wanaipenda sana!
 
Back
Top Bottom