Waziri Jaffo tunaomba uangalie mfumo wa maombi ya ualimu kwa jicho la tatu.

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
Mhe: pole na majukumu na changamoto za hapa na pale katika ujenzi wa taifa letu.Changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa sisi waalimu tuliohitimu mafunzo ya Ualimu katika Vyuo mbalimbali Nchini ni changamoto ya mfumo wa Uombaji mafunzo kwa njia ya mtandao yaaani OTES. Mfumo huu umekuwa haumili idadi ya waombaji mda wote upo bussy haufunguki na ukifunguka unaweza upload cheti cha degree na ukaletewa umeweka taarifa ume upload cheti cha certificate, hata msemaji wa wa tamisemi amesema una upload cheti kisizid mb1, uta upload wap wakati hata kufunguka haifunguki,Mhe waziri Jaffo tunakuomba kwa heshima na taadhima mfumo huu ufanyiwe marekebisho au tunahamishiwe ajira portal ila kwa ridhaaa yenu nimatumaini yetu kilio mtakisikia.
Mwalimu tarajali
 
Back
Top Bottom