Waziri Jaffo mbona una huruma sana na watanzania wazembe?

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,469
1,697

Waziri Jaffo sisi watanzania tuna kupenda sana kwa vile unaonyesha kuwa kweli wewe moyo wa uzalendo na nchi yako kama wa Rais wetu mpendwa Magufuli anao, unao pia na zaidi ya hayo usimazi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya taifa kulingana na matakwa ya Rais wetu una yafanya kwa ufanisi mkubwa sana. Endelea hivyo hivyo waziri wetu.

Waziri Jaffo naomba nikuambie kitu, wewe umekuwa Role model wa vijana wetu Tanzania kwa hivi sasa. Wengi wao wanataka wawe kama wewe, kwa kweli ni kitendo cha kufurahisha sana. Utendaji wako wa kazi una wapa watanzania wengi faraja kubwa sana kiasi kwamba wanakuona wewe ni mfano wa kuigwa kama hujui.

Lakini hata hivyo Waziri Jaffo pamoja na sifa zote hizo tunazo kupa kuna tatizo moja kubwa ambalo bado unalo, wewe una huruma sana na watanzania wazembe wasio penda kujituma. Nakusihii Waziri wetu tafadhali, acha mara moja huo mtindo wa kuwaonea huruma hao wazembe na wakwamishaji wa maendeleo yetu. Hawata badikika tena. Wamesha zoea hivyo. Utapigizana nao kelele mpaka utachoka, hawata kuelewa kamwe na matokeo yake naye Rais akiona mambo hayaendi vizuri kama anavyotaka atakutumbua wewe mwenyewe. Kitu ambacho sisi wafuasi wako hatutapenda.

Nakuomba hao watendaji wako wa serikali waki mess tu watoe wote, asibaki mtu hata mmoja. Na kama madaraka hayo huna basi mshauri Rais au Waziri mkuu ambao wana madaraka makubwa wafanye hivyo. Nina uhakika Rais huyu anaye penda maendeleo ya watanzania, atakuunga mkono tu kwa vyovyote vile.

Tanazania haina uhaba wa Ma-engineer. Ma-engineer tunao kibao ambao hawana kazi za kufananya na hata wengine kudiriki kuhama nchi na kwenda kutafuta riziki zao nje. Unawabembeleza wa nini mazombi hao wasio kwenda na wakati?

Mijitu iliyo zoea kuto tumia ubongo wao kuelewa kwa nini wamepewa wadhifa wa kutekeleza sera za chama na malengo ya serikali kwa maendeleo yao wenyewe, watoto, familia zao, unafikiri ita kuwa rahisi kutambua wajibu wao na kuwa na mwamko wa kujituma kwa ajili ya maendeleo ya watanzania wengine kwa ujumla? Achana nao. Watakufanya uonekane mpiga domo tu kwa Rais na hatimaye akaondoa uaminifu kwako. Watakufanya uugue ugonjwa wa moyo bure waziri wetu. Tunakuhitaji bado!

Wazembe wa namna hii Waziri Jaffo tunaomba wasipewe tena nafasi ya kupewa miradi nyeti ya maendeleo nchini Tanzania. Inasikitisha sana kuona jinsi wanavyo tokwa na mishipa kujaribu kudanganya. Kudanganya kwenyewe hawawezi bali ni uwenda wazimu na visa tu.

Wao wanafikiri watanzania wote wana akili kama zao. Kama hizo nafasi walikuwa wakipeana kiundugu au kiurafiki huko nyuma, watambue kuwa wakati muafaka umefika sasa wa watanzania kuchukua maamuzi yao wenyewe ya maendeleo ya nchi yetu. Hatutaweza mvumilia mtu mzembe na mkwamishaji wa maendeleo ya nchi yetu tena. Na wewe waziri Jaffo ndiyo uwe mfano wa kuwapiga na kuwa bwaga chini kama gunia la mahindi. Kuwa na "ZERO TOLERANCE" na mazombi hayo yasio taka kubadilika na kwenda na wakati!
 
Mhhh,Jaffo anapendwa kwa hivyo hivyo alivyo,akibadilika na kuwa mkurupukaji wa fukuza fukuza watu wataanza kumchukia!!!Nadhani wewe mleta mada una nia ambayo sio njema kwa Jaffo!
 
Jiwe amefukuza makamishna wa TRA watano lakini ana-mark time tu. Mawaziri wa kilimo kuanzia Tizeba mpa huyu wa sasa Hasunga lakini kilimo kila siku kinazidi kudidimia. Jiwe kila anapogusa mambo yanabakia naye hayasongi mfano GePG imesababisha benki ukwasi unaisha

Kwenye Korosho bado anazo na hakuna mpango wa kununuliwa kila siku ni koroshow koroshow. Kwenye ndege ndo kabisa anaenda nayo Chatto haina kazi. Kwenye madini hakuna breakthrough na Barick. Kwenye pension mifuko inajifia watu hawalipwi

Jafo sio wa kumlaumu ni Jiwe ndo sababu maana lenyewe linaharibu halafu linawasingizia wengine.
 
Mimi nafikri wewe hujaliona darasa kwa ndani. Una akili kama za mtoto wa darasa la pili. Nenda shule kwanza halafu ndiyo uje na pumba kama hizo.

Kama watanzania wengi humu wana akili kama zako basi hiyo sio nchi ya kuishi tena! It is a banana Republic!
 
Mhhh,Jaffo anapendwa kwa hivyo hivyo alivyo,akibadilika na kuwa mkurupukaji wa fukuza fukuza watu wataanza kumchukia!!!Nadhani wewe mleta mada una nia ambayo sio njema kwa Jaffo!
Wewe nafikiri sio mtanzania. Huna upendo na uzalendo na nchi yako na pia huwatakii watanzania mema.

Kwa nini unaishi katika nchi usiyo taka iendelee?
 
Waziri Jaffo sisi watanzania tuna kupenda sana kwa vile unaonyesha kuwa kweli wewe moyo wa uzalendo na nchi yako kama wa Rais wetu mpendwa Magufuli anao, unao pia na zaidi ya hayo usimazi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya taifa kulingana na matakwa ya Rais wetu una yafanya kwa ufanisi mkubwa sana. Endelea hivyo hivyo waziri wetu.

Waziri Jaffo naomba nikuambie kitu, wewe umekuwa Role model wa vijana wetu Tanzania kwa hivi sasa. Wengi wao wanataka wawe kama wewe, kwa kweli ni kitendo cha kufurahisha sana. Utendaji wako wa kazi una wapa watanzania wengi faraja kubwa sana kiasi kwamba wanakuona wewe ni mfano wa kuigwa kama hujui.

Lakini hata hivyo Waziri Jaffo pamoja na sifa zote hizo tunazo kupa kuna tatizo moja kubwa ambalo bado unalo, wewe una huruma sana na watanzania wazembe wasio penda kujituma. Nakusihii Waziri wetu tafadhali, acha mara moja huo mtindo wa kuwaonea huruma hao wazembe na wakwamishaji wa maendeleo yetu. Hawata badikika tena. Wamesha zoea hivyo. Utapigizana nao kelele mpaka utachoka, hawata kuelewa kamwe na matokeo yake naye Rais akiona mambo hayaendi vizuri kama anavyotaka atakutumbua wewe mwenyewe. Kitu ambacho sisi wafuasi wako hatutapenda.

Nakuomba hao watendaji wako wa serikali waki mess tu watoe wote, asibaki mtu hata mmoja. Na kama madaraka hayo huna basi mshauri Rais au Waziri mkuu ambao wana madaraka makubwa wafanye hivyo. Nina uhakika Rais huyu anaye penda maendeleo ya watanzania, atakuunga mkono tu kwa vyovyote vile.

Tanazania haina uhaba wa Ma-engineer. Ma-engineer tunao kibao ambao hawana kazi za kufananya na hata wengine kudiriki kuhama nchi na kwenda kutafuta riziki zao nje. Unawabembeleza wa nini mazombi hao wasio kwenda na wakati?

Mijitu iliyo zoea kuto tumia ubongo wao kuelewa kwa nini wamepewa wadhifa wa kutekeleza sera za chama na malengo ya serikali kwa maendeleo yao wenyewe, watoto, familia zao, unafikiri ita kuwa rahisi kutambua wajibu wao na kuwa na mwamko wa kujituma kwa ajili ya maendeleo ya watanzania wengine kwa ujumla? Achana nao. Watakufanya uonekane mpiga domo tu kwa Rais na hatimaye akaondoa uaminifu kwako. Watakufanya uugue ugonjwa wa moyo bure waziri wetu. Tunakuhitaji bado!

Wazembe wa namna hii Waziri Jaffo tunaomba wasipewe tena nafasi ya kupewa miradi nyeti ya maendeleo nchini Tanzania. Inasikitisha sana kuona jinsi wanavyo tokwa na mishipa kujaribu kudanganya. Kudanganya kwenyewe hawawezi bali ni uwenda wazimu na visa tu.

Wao wanafikiri watanzania wote wana akili kama zao. Kama hizo nafasi walikuwa wakipeana kiundugu au kiurafiki huko nyuma, watambue kuwa wakati muafaka umefika sasa wa watanzania kuchukua maamuzi yao wenyewe ya maendeleo ya nchi yetu. Hatutaweza mvumilia mtu mzembe na mkwamishaji wa maendeleo ya nchi yetu tena. Na wewe waziri Jaffo ndiyo uwe mfano wa kuwapiga na kuwa bwaga chini kama gunia la mahindi. Kuwa na "ZERO TOLERANCE" na mazombi hayo yasio taka kubadilika na kwenda na wakati!

Peleka wanao na ndugu zako wakasomee U-engineer. Utakuwa umemsaidia Jaffo. Lakini kama ukoo wenu mlikimbia umande alafu leo umenunua smartphone ukafikiri unaweza kujadili uhandisi utakwama.
 
Wewe nafikiri sio mtanzania. Huna upendo na uzalendo na nchi yako na pia huwatakii watanzania mema.

Kwa nini unaishi katika nchi usiyo taka iendelee?
Fukuza fukuza haijawahi kuwa mwarobaini!Ni vema hatua za kisheria za utumishi wa umma zifuatwe!Sio unafukuza halafu unaendelea kuwalipa mshahara,maana muajiriwa wa serikali ni kazi sana kumfukuza kazi!Kuna kipindi JPM alikuwa analipa mil 500 kwa mwezi kwa zile tumbua tumbua,unamtumbua mtu ila kwa kuwa ni mtumishi wa uma anaendelea kulipwa!
 
pole sana. kila mtu akishikwa akili na DJ tutakuwa salama kweli?
Bora ushikwe na international DJ kuliko villageman Lusinde.Unaandika hoja za kienyeji na ubisha kienyeji.Hujui hata maana ya disappeared and died.....unatia aibu zumbukuku
 
Peleka wanao na ndugu zako wakasomee U-engineer. Utakuwa umemsaidia Jaffo. Lakini kama ukoo wenu mlikimbia umande alafu leo umenunua smartphone ukafikiri unaweza kujadili uhandisi utakwama.
Usiletee akili za kenge ukadhani kuwa theory yako ya Civil Engineering ya UDSM ina weza kukutana na watu wenye Masters ya Design Engineering ya kimataifa? Hata nyumba na madaraja mnashindwa kujenga sembuse trains za high speed? Endelea kujivunia chetu chako cha UDSM ambacho hakina manufaa kwa jamii zaidi ya kupiga hela za umma tu.
 
Fukuza fukuza haijawahi kuwa mwarobaini!Ni vema hatua za kisheria za utumishi wa umma zifuatwe!Sio unafukuza halafu unaendelea kuwalipa mshahara,maana muajiriwa wa serikali ni kazi sana kumfukuza kazi!Kuna kipindi JPM alikuwa analipa mil 500 kwa mwezi kwa zile tumbua tumbua,unamtumbua mtu ila kwa kuwa ni mtumishi wa uma anaendelea kulipwa!
Anatumbuliwa na kufunguliwa mashtaka na akibainika ameiba hela za umma anafilisiwa. Wewe una ijua stories za upande mmoja tu zile za upande mwingine hushughuliki nazo. Hilo ndilo tatizo lako.

Hata nyumba yake na gari lake ananyang'anywa. Mwuulize yule waziri Mstaafu ambaye nyumba zake zilinadiwa na Dr Shika kutaka kuzinunua. Si alikuwa pia mtumishi wa umma au nimekosea?
 
Usiletee akili za kenge ukadhani kuwa theory yako ya Civil Engineering ya UDSM ina weza kukutana na watu wenye Masters ya Design Engineering ya kimataifa? Hata nyumba na madaraja mnashindwa kujenga sembuse trains za high speed? Endelea kujivunia chetu chako cha UDSM ambacho hakina manufaa kwa jamii zaidi ya kupiga hela za umma tu.
Majibu ya hovyo hovyo!
Upuuzwe..
Ni wivu tuu
 
Majibu ya hovyo hovyo!
Upuuzwe..
Ni wivu tuu
What? Wivu? Unaniambia mimi nina wivu wakati kwanza hunijui na hujui mimi niko wapi, ninafanya nini na nimesomea nini na wapi na nina ujuzi gani? Nitamwoneaje wivu mtu ambaye anajiita Mhandisi anaye jaribu kumdanganya waziri kwa kusingizia kuwa kuchelewa kuanza kwa mradi eti sababu ni mvua? Wakati waziri hapo hapo akamjibu kuwa watu wanajenga madaraja makubwa baharini, si maji yale pia?

Please! Usije na maneno ya udaku wenu wa kanga kanga wa uswahilini. Njoo na hoja kabambe ambayo itanipa mimi challenge. Upuuzi wenu wa uswahilini upeleke huko huko kwenye vijiwe vyenu na kwa watu wenye maneno ya kanga kanga wenzako. Mimi sio type yako.

Unajua maana na matumizi ya hilo neno wivu? Usilitumie hilo neno vibaya. Be careful na matumizi yake!
 
Nenda kajifunze maana ya 'FORCE MAJEURE' ndiyo utajua kazi ya mvua unayolinganisha na bahari.
Pole.
 
Back
Top Bottom