Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,752
139,556
Ukweli ndio huo.

Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.

Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.

Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.

Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
 
Wizara ipo chini ya nani na TFF inafanya kazi kwa kuzingatia sheria za FiFa pekee ama...
 
Bwashee hujui kama chama chakavu wanaweza fanya lolote
Ukweli ndio huo.

Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.

Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.

Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.

Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
 
In theory yes. Lakini kwenye uganga njaa wa bongo TFF inaingiliwa vizuri tu na serikali, tena yenyewe inajipeleka ili ikaingiliwe.
Ndugu popote ulipo! Serikali ipo wether kikazi au kimaisha hata kiutani. Hizo zingine eti Fifa ni maandishi tuuu. Muulize edgar tenga au Karia kuwa waliupataje urais wa TFF! Kama wakikupa jibu la ukweli! njoo nikupe mke wangu , ukae naye siku sita.
 
Ukweli ndio huo.

Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.

Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.

Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.

Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Bashungwa ni moja ya mawaziri mizigo,mama karithi baadhi ya vimeo hiki ni kimojawapo hakika
 
Ukweli ndio huo.

Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.

Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.

Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.

Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!

Haki izingatiwe kila mmoja awajibike kulingana na kosa yake.
 
Attachments

  • Screenshot_20210508_201657~2.jpg
    Screenshot_20210508_201657~2.jpg
    64.9 KB · Views: 2
Ndugu yangu bashungwa nazani haelewi vizuri nini anatakiwa kufanya Ma aliteuliwa kwa bahati mbaya sababu mambo wanayofanya katika wizara yake mengi ni under performance
 
Ukweli ndio huo.

Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.

Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.

Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.

Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Ataachaje kufuata maelekezo ya serikali wakati Tff yenyewe inaendeshwa kisiasa?!!
 
Ukweli ndio huo.

Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.

Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.

Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.

Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
We bwege ulishawahi kuwa na akili hapa JF?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom