Rais anapopanga safu ya mawaziri maana yake anapanga team ya mapambano dhidi ya mambo Fulani Fulani!!waziri anakula kiapo kuwa atamshauri rais na so kumpinga rais. Kwanza unatangukia kumshauri rais ukiona hakuelewi nawe unaona jambo unalomshauri ni La maana basi unachagua moja katika haya:kutulia au kujiuzulu nafasi ya uwaziri.
Yawezekana vijana wengine waliyoteuliwa kuwa mawaziri hawalijui hili.ndo maana labda semina elekezi inatakiwa ili kuondoa kutoekewa misingi hii!!
Waziri anateuliwa wala haombi kuteuliwa.waziri no mbunge amabaye amepewa ridhaa na wananchi Wa jimbo lake.sasa unapoachishwa uwaziri unaenda kupiga makelele jimboni eti umeonewa kwa kuachishwa uwaziri??this is not correct !!wananchi hawakukuchagua ile uwe waziri !!walikuchagua uwe mwakilishi wao bungeni!!kama ukiachishwa uanachama na directly unaacha ubunge (according to our constitution) hapo ndo una haki yakwenda kupaza sauti yako jimboni na kulalamika kuachishwa ubunge wako!!lakini siyo kuachishwa uwaziri then unaenda jimboni kupiga makelele!!hapana!!na vyama vya siasa wanatakiwa walijue hilo.juzi nilisikia chadema wanalalamika eti kwa mini Nape ameachishwa uwaziri!! Wanafiki wakubwa !!Mbona hamkutoa shukrani kwa rais aliyemteua kipindi ameteuliwa??acheni kuwahadaa wananchi wasiyojua mambo!! Waziri haapishwi na spika Wa bunge wala hadhibitishwi na bunge! Ndo maana akiachishwa uwaziri sioni mantiki ya kulalamika!! Kocha kabadili mchezaji ili kupata ufanisi ndani ya team yake
Makelele ya nini!??fuata matakwa ya kocha wako ndipo utakuwa Salama!vinginevo achana na team husika na usipige makelele mpaka kocha atakapostaff!! Usifuruge team husika!!