#COVID19 Waziri Gwajima: Watoto chini ya umri wa miaka 18 hawatachanjwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kufuatia ripoti kuhusu Watoto kukimbia Shuleni, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesisitiza Chanjo dhidi ya COVID19 zitatolewa na wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee

Ameeleza, "Hakuna mtoto aliye chini ya miaka 18 ambaye atachanjwa. Na hawa wa miaka 18 na kuendelea watachanjwa kwa hiari yao baada ya kupokea Elimu. Mtoto akikimbia Shule ametoroka tu"

Aidha, amesema baada ya Dozi za Chanjo aina ya Sinopharm kupokelewa Nchini, Mamlaka husika zitachukua sampuli ili kujiridhisha kitaalamu
 
Kwanini mchunguze za wenzenu, kama mnao ujuzi wa kujua ufanisi au udhaifu wa chanjo kwanini msitengeneze za kwenu!!!?
 
Dah zile liquid za Madagascar ndio basi tena? Maana tuliambiwa zitachunguzwa maabara kwa miezi sita ndio tugaiwe.. Mimi nadhani ni nzuri zaidi kwakuwa huchomwi bali unakunywa
 
Kufuatia ripoti kuhusu Watoto kukimbia Shuleni, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesisitiza Chanjo dhidi ya COVID19 zitatolewa na wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee

Ameeleza, "Hakuna mtoto aliye chini ya miaka 18 ambaye atachanjwa. Na hawa wa miaka 18 na kuendelea watachanjwa kwa hiari yao baada ya kupokea Elimu. Mtoto akikimbia Shule ametoroka tu"

Aidha, amesema baada ya Dozi za Chanjo aina ya Sinopharm kupokelewa Nchini, Mamlaka husika zitachukua sampuli ili kujiridhisha kitaalamu
Kwahiyo mmekopa kwanza hizo chanjo halafu ndio mnajiridhisha kitaalamu? Sio kabla ya kuzikopa?
 
Back
Top Bottom