Waziri Gwajima umechemka kuhusu Uuzaji wa Damu unaodai unafanywa na Watumishi wa Wizara ya Afya. Hujui ufanyalo

Shetani wa Chato aliona viclip vyake akiwafokea madaktari wakati akiwa mtumishi wizara ya afya basi akampa ubunge na kumsukumizia uwaziri kama yeye alivyosukumiziwa Urais.

Awamu ya tano ulikuwa ni mkosi kwa Taifa.
Huu utamaduni wa kumtukana marehemu Tena alikuwa kiongozi mkuu wa nchi umetoka wapi? na huenda kuna kuna mtu anawalipa wahuni nyie msiojitaambua, huyo aliyejiandaa kuwa rais alifanya Nini cha maana zaidi ya kuendesha genge lenu la wahuni.
 
Eti Dr Gwajima hajui halafu mleta mada ndio anafahamu.

Hivi mgonjwa afike hospitali inventory inaonyesha kwenye blood bank kuna stock ya damu husika.

Mtu yupo hoi bin taaban inaenda tafutwa damu hakuna, watu washauza kwa mlango wa nyuma.

Halafu sasa damu sio biashara ya kusema kuna mtu ana nunua kama njugu ni lazima inauzwa hospitali binafsi inapohitajika.

Na ni ujinga wa hali ya juu kwenye inventory control, watu inabidi wajue stock ikoje kama low waongeze. Sasa akiba inaonyesha ipo ya kutosha watu wanaacha jitihada za kukusanya kumbe kuna mafala washauza.

Hivi unajua medical errors unazoweza sababisha na hiyo biashara, not sure ata unaelewa source of medical error caused by human factors kama hizo.

Eti Dr Gwajima hajui, halafu mtu anae bwabwaja ujinga ndio anajua.
 
Back
Top Bottom