#COVID19 Waziri Gwajima: Marekani imechanja 2.4% ya watu wake na J&J

Hawaiamini wakati ndio aliyochanjwa joe biden,rais wao?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app

Hivi mwafikiria Wazungu wanakubaliana na kubahatisha?! Chanjo yenyewe ina bagua na wanatayarisha speshali ya kwenda kwa wanao waita nyani wa huko Afrika. Ulaya kwenyewe wachezaji weusi wa soccer hurushiwa ndizi mbivu kuwakejeli pamoja nà umahiri wao wa kusakata kandanda. Vipi kwa mswahili wa Namtumbo chanjo yake itakuwa salama?!
 
Back
Top Bottom