#COVID19 Waziri Gwajima Kiboko! Ni Mwanamke wa Shoka… Amuita mtu ‘Kibwetere’. Unamjua huyo Kibwetere ni nani na Wakoje naye?

Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

Kaka Pascal.
 
Ndio maana hii nchi ni maskini mpaka sasa

Yaani wananchi wanakuwa na viongozi wa aina hii na wanashangilia.

Hatuhitaji comedian tunahitaji mtu anayesimamia utekelezaji wa sera.

Kina Joti wanatutosha.
 
Gwajimoto vs Gwajiwater = vibweterero😂😂😂😂👏👏👏 Para kashando nduki ya kwangarukaka baraondoka vee bha buabhaaaa.naaa
 
Maigizo ya kijinga kabisa haya.
Huyu mama nimemtoa kasoro, yaani punguani kabisa,nilikuwa namkubali sana mwanzoni kumbe mwendawazimu.

Huyu sindiye alikuwa anajifukiza kweli? Anakula vitunguu na malimau hadharani?

Dah! Wamenufanya nianze kumuunga mkono Gwajima Bure...yaani leo ukifanya simple research wasiotaka chanjo ni wengi kuliko wa kuchanjwa!

Hopeless kabisa
 
Pasco teuzi zimesha isha Kama hukupata kitu kenye maonyesho yenu ya sabasaba ,Basi Tena na to umesha kutupa mkono.
 
Kwa kuwa Gwaji girl kasemea hayo kwenye madhabahu yake ya Ikulu, na sisi tutamjibu tukiwa kwenye madhabahu ya Mungu wetu wa Mbinguni pale ufufuo na Uzima. Karibu jumapili, uungane na sisi.
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

Tunaposubiria chanjo, habari hii na imfikie askofu Rashid popote pale alipo.

Hiiiiii bagosha!
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

Acha ushabiki boss! Kama ni mifano mibaya, iko kibao kwa wanasiasa. Utajisikiaje rais akilinganishwa na tawala zilizoteketeza watu?

chanjo isiwe kampeni ya udanganyifu. Ignorance bado ni kubwa hata ndani ya wizara na hata Ikulu. Hakuna anayejidai kuwa na uhakika na anachokisema. Stop nonsense!
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

😀 😀 Ngoja huyo anayemuita kibwetere amkwapulie taulo lake ndio atafurahia show.
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P
Ktk mawaziri wajinga huyu Gwajima ni wa kwanza.
Utamuitaje wakati alipocheza na kupiga nyungu kwa kumuunga mkono mwendazake kuhusu corona?.Huyu ni bendera fata upepo tu hana hata akili ya kidaktari
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

Mkuu P ninamjua huyo anayeitwa Kibwetere na nishemeji yake ,lakini hata mimi nina mashska na waziri wetu wa afya maana yule wa Magufuli ninamuona tofauti na wa Samia
 
Back
Top Bottom