#COVID19 Waziri Gwajima amteua Steve Nyerere kuwa Balozi wa Uviko-19

Hivi ukiteuliwa ubalozi
Unalipwa

Ova
Of course unalipwa kama vile vile ambavyo mtu unavyo chaguliwa kuwa mjumbe wa tume au kamati maalum ya uchunguzi wa jambo fulani hivi.
Na hawa wanaweza kutengeneza pesa ndefu kwa ule mtindo unaolipa kwa posho au (Per Diem) wanapozunguka kwenye kampeni za kuelimisha na kutoa hamasa kwa umma kupiga chanjo. Hapo unaweza kukuta Usafiri, Hotel (yenye hadhi ya Ubalozi:), Malazi, Chakula + (posho) per daily per diem. Sasa hapo penye perdiem ndio kwenye ufisadi wenyewe kwani unaweza kukuta Tz Shs 400,000.00 per night) kutegemeana na contract yao wawapo safarini kazini au kwenye vikao vya kazi. All depends with the negotiated terms of their contracts.
 
Msanii maarufu nchini na Mwenyekiti wa Jukwaa la Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele 'Steve Nyerere' ameteuliwa kuwa Balozi wa harakati za kupambana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (Uviko-19).

Steve ameteuliwa leo Alhamisi Agosti 12 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, jijini Dar es Salaam.

Pamoja na Steve, wengine walioteuliwa ni Mwanaharakati wa Kutetea Haki za Wanawake nchini, Joyce Kiria na Mbunge wa Viti Maalumu, Neema.

Tangu janga la Uviko 19 liibuke tena nchini mwaka huu, Steve ameonyesha kupambana na janga hilo huku akihamasisha Watanzania kupata chanjo ili kujikinga dhidi ya ugonjwa huo hatari duniani.
Mbona waziri pamoja na mabalozi wake hawajavaa barakoa, au huo uwaziri ma ubalozi ni kuhusu chanjo pekee?
 
Back
Top Bottom