Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,237
- 34,184
Kwa hiyo unakubali Tanzania kuna korona?NIMR kuna madaktari bingwa sio wanasiasa hiyo dawa haijatengenezwa na wanasiasa wa Chadema
Kwa hiyo unakubali Tanzania kuna korona?NIMR kuna madaktari bingwa sio wanasiasa hiyo dawa haijatengenezwa na wanasiasa wa Chadema
Pumbavu zako, usiniongezee machungu kabisa, nakutajia kama nani nyau wewe. Akili yako ndogo hiyo kuna kitu unajua. crocodile mkubwa wewe. Tena achana na mimi karumekenge wewe. Unajua nini wewe nyang'au mkubwa wewe. Tunafiwa huku unaniletea kichwa maji yako hapaTutajie majina yao mtaa walipokuwa wanaishi kazi zao kabila nk tuhakiki kuanzia kwa ndugu ,majirani,wazee wenzao ,marafiki,madaktari nk
Wew kibaraka agent wa dawa za wazungu tu huna lolote
Tanzania safari hii mtatujua sisi ni mami waambie mabwana zako wazungu waliokutuma uponde dawa zetu tuchukue zao kuwa kwenye Corona kwa Tanzania wamekwaa kisiki
Mwenyekiti wako ndo hajui na ndiye aliyesema hivyo, mnalingana akili mburumatale wewe.Na wewe hujui unadhani lile bati la kuweka simu card ni hilo unaloezeka kwenye nyumba pole kwa ujinga uliokujaa
Bosi wako kwa uelewa wake mdogo alijua ndiyo material ya kutengenezea mabati, na wewe umezama humo humoNa wewe hujui unadhani lile bati la kuweka simu card ni hilo unaloezeka kwenye nyumba pole kwa ujinga uliokujaa
Bati ziko za aina nyingi kuna za magari kuna za nyumba kuna za simu kuna bati za ndege nk wewe ulivyosikia bati kwa kuwa ni bwege akili huna ukajua anaongelea bati za kuezeka nyumbaMwenyekiti wako ndo hajui na ndiye aliyesema hivyo, mnalingana akili mburumatale wewe.
Sisi ni wavivu kufikiri na kuthamini vya kwetu.Kwa nini tutumie pesa za kigeni kuagiza dawa Madagascar wakati uwezo wa kutengeneza tunao?
Kabla ya mzungu kuleta tiba yao,je waafrika walikuwa wanatibiwa na nini?Nchi imegeuka kua ya kishirikina, inchi ya wapiga ramli.
Toka lini kachumbari/chachandu ikawa tiba ya magonjwa?
Tufute wizara ya afya maana haina uhumimu, tutumie waganga wa kienyeji na wapiga ramli.
Ninaongea na zuzu, kwa hiyo hayo ndiyo madini ya kutenegenezea simu yanayopatikana Tanzania. Kapiga soga kwenye vijiwe vya gahawa. Hujui kituBati ziko za aina nyingi kuna za magari kuna za nyumba kuna za simu kuna bati za ndege nk wewe ulivyosikia bati kwa kuwa ni bwege akili huna ukajua anaongelea bati za kuezeka nyumba
hapa unatukana,usiku unapiga nyungu kama huna akili,ndio watanzania tulivyoFor idiots
Well said,kashupalia utafiti,utafiti!!! Hana habari kwamba chanjo hazitibu COVID-19, kazi ya chanjo ni ku-pe prime kinga ya mwili kutambua virusi vya kovid mapema na kuvishambulia kabla avijaleta madhala zaidi - kwa maneno mengine kazi ya chanjo sio kutibu virusi per se bali ku-boost immune system ya mwili wako iwe na uwezo mkubwa wa kutambua virusi vya kovid mapema vikashambuliwa vikali na kuondolewa kwenye system - buzz word hapa ni: kuipiga tafu kinga ya mwili wako (Immune system).Wewe ni daktari? Maana umeshupalia utafiti as if ukipewa hizo tafiti utaelewa kilichoko kwenye tafiti.
Nilivyomuelewa waziri ,hizi pilipili n.k.hazitibu korona. Ni booster ya kinga za mwili ili uweze kuvishinda virusi. Ila pia hakutangaza kama kuna korona. Na naibu waziri alijitahidi sana kueleza kuhusu tafsiri za magonjwa au uptoshaji na jinsi dawa za asili zinavyoweza kuokoa maisha .Vingine ni kufanya mazoezi na kulala masaa 7 hadi 8 pamoja na kujifukiza. Kinachokosekana kadiri ya WHO ni kuvaa barakoa ,social distancing na mchakato wa chanjo. Hatujui kama nyungu ndiyo inachukua nafasi ya barakoa au la.Sasa nani alifanya utafiti wa kisayansi kwamba pilipili, kachumbari inatibu korona?
Na ni kwa nini isiwe majani ya mpapai, mizizi ya muembe ama miwa au supu ya mawe?