#COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

Tozo za miamala , mafuta, pembejeo za kilimo!
Ccm ni mabingwa wa kutengeneza muvi!! Hadi leo hii Mama yuko zake Malawi, hakuna mrejesho wowote ule kuhusu TOZO! Watanzania tunaendelea tu kuumizwa!
Makato ni makubwa mno!!!! Biashara ya miamala kwa sasa imedorora! Hakuna anayejali.

Hela inatafutwa kwa nguvu, halafu unaambiwa Mkurugenzi wa Halmashauri fulani, na ambaye ni kada wa ccm! Amejenga barabara ya lami ya urefu wa kilomita 1 kwa Tsh. Bilioni 5!!!
 
Wanafiki wakubwa nyie mnaojifanyaga mmeokoka she.nzi kabisa
Pole mwana wa ibilisi. Kinachokusumbua ni wivu kama wale waliomuua Yesu, wakidhani wanamkomesha. Hauko peke yako mko wengi. Tukana tena, tusi lingine kwa uvuvio wa lucifer baba yako.
 
Kuna mambo hayakosawa nchi hii na Nafikiri ufinyu wa fikra za watanzania ni mtaji mkubwa wa CCM na wapiga propaganda wao
 
Jibu hoja, nachukia mipasho kwenye hoja.
Majibu yote yapo public

I am not here to tell you what sciences shouts everyday

kama unaweza access JF then you can access all the data and info available online

tusijibweteshe Kama wanawake wa pwani
 
Majibu yote yapo public

I am not here to tell you what sciences shouts everyday

kama unaweza access JF then you can access all the data and info available online

tusijibweteshe Kama wanawake wa pwani
Hicho kichaka hakitakusaidia sana, tuambiwe, madhara (side effects) za hizo chanjo baada ya miaka mi5 ni zipi? Kwa atakayechomwa na kwa watoto atakaowazaa, ziwekwe wazi na watuambie walifanya hayo majaribio kuanzia mwaka gani hadi mwaka gani...
 
Back
Top Bottom