Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,353
- 4,535
Inasikitisha sana!
Tuna viongozi wa ajabu sana Nchi hii ! CCM iko wapi?
Aliyelieleza Taifa kuhusu " madudu" ya mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo alikuwa ni Rais wa JMT, Amiri Jeshi Mkuu, Mkuu wa Nchi, Raia namba moja mwenye taarifa zote muhimu 24/7 kuhusu Nchi yake kuliko raia mwingine yeyote!
Hayati Rais Magufuli aliyasema hayo mchana kweupe tena bila kumung'unya maneno na makofi mengi akapigiwa !!!! Nadhani hata huyu Waziri Godfrey Mwambe alikuwa kwenye hadhira hiyo kama Boss wa TIC !! Clip zipo YouTube!
Sasa swali kwako Ndugu Waziri Mwambe, umesema hakukuwa na mkataba wowote uliosainiwa!! Je iliwezekanaje Rais wa Awamu ya NNE Mhe. Kikwete kuzindua mradi na kuweka jiwe la msingi katika mradi ambao ulikuwa hauna mkataba?
Clip za uzinduzi huo zipo YouTube na ilikuwa covered katika taarifa ya habari TBC.
Kama kweli Mhe.Kikwete alizindua mradi ambao haukuwa na mkataba bado basi Matatizo ya Nchi yetu ni makubwa kuliko tunavyoelezwa au tunavyofahamu!
Cha kusikitisha ni kuwa viongozi wote hawa wenye ndimi tofauti wanatokana na Chama Cha Mapinduzi!!
Bunge liko wapi?! Kwa nini wabunge msiombe taarifa rasmi kuhusu mradi wa Bagamoyo na sisi kama wananchi tuliowatuma Bungeni tujuwe KUNA NINI UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO?
Kama kuna madudu wahusika wawajibike!! Kwa kweli wananchi mnatuchanganya sana!
Huyu anasema hili, yule anasema kile! CHAMA KIMOJA, SERIKALI MOJA , SCRIPT TOFAUTI.
Mwambe ni kisemeo tu katumwa na Samia na snitch wa kwanza ni Samia, alikuwa makamu wa rais kavunja rekodi ya usaliti kwa kiwango kikubwa sana. Malipo yapo chini ya jua. Na 2025 ajiandae kulea wajukuu na haitatokea mwanamke kupata cheo cha umakamu wala urais mwisho wao utakuwa uwaziri mkuu tu ambao ianze kuwa ndoto yao.Inasikitisha sana!