Waziri Ghasia aumbuliwa na Mkurugenzi LAPF kwa kumdhalilisha Mbowe kukopa mabilioni ya pesa

hiyo ilifahamika mapema sana kwamba ndugu HAWA ALIAMUA KUFANYA MAJITAKA kwa maelekezo maalum .
 
Unajua bana siku zote ukiwa ukiwa unawashwa ni tatzo sasa uyu mama anatakiwa awajibike kwa kulidanganya taifa..!! Umbea, unafki umemjaa povu linamtoka

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

HUO NI MKAKATI MAALUM hawezi kuguswa .
 
Back
Top Bottom