Waziri fataki anapotuhumiwa kumbaka kinda Lulu.............

quote_icon.png
By Jaslaws

Mtoto mchanga + msukuma =ngereja.

mimi simo ..............simo kabisa hapo................lol
 
Ruta kabla hujamtaja huyo mtu, ni bora ukawa na uhakika kuwa alikuwa anatoka na huyo mtoto na ndie aliyempigia simu usiku huo na kumtaka wakutane coco beach!! Btw, wanaume wenye tabia hizo hawafanyi vizuri hata kidogo......yaani wakishaona binti ana kamwili kidogo, anapendeza na kama ni mwepesi kulubunika basi ndo wanajimuvuzishia mavitambi yao!! Khaaa......wanakera kwakweli!
 
wadau naona yatasemwa mengi ya ukweli hisia na uwongo pia katika kifo cha kanumba

kazana kutambua yepi ni kweli na pumba utaachie wenyewe wahusika.....
 
[h=2][/h]
Mzushi Huyu Umbea unamsumbua na Hana lolote wala uhakika Wa anachokisema.

ubarikiwe sana...............nitatoboa ushahidi kwa wakati niliojipangia............kauli yako hii hainisumbui hata chembe.......
 
Naomba tafsiri ya hayo maneno kwa kiswahili mkuu umeniacha.

huu ni msemo wa kihaya,nimesoma na wahaya na katka watu niliosomanao kuna mtu alikua anatumia jina la rutashubanyuma.nimesema nomaya akanyasi kalokusiga mazi(unajua jani litakalokupaka kinyesi)kaikala kainamile(huwa likaaga limeinama)msemo huu wanadai ulitokana na ile tabia ya kujisaidia vichakani,yaani mtu unaenda kujisaidia vichakan alafu wakati unainuka kumbe kuna kajani ambako kalishika kwenye kinyesi kakiwa kameinama mara kanayatuka na kukupaka kinyesi.hii namfananisha na mleta mada kaileta kimajungu,tunamwambie ataje hataki mwisho anaweza kumtaja skype kwa evidence za uongo lakin za kuaminika kisha watu tukakuweka kwenye orodha.maana inaonekana hajui ila anapima upepo kisha amtaje yoyote atakaye endana na mawazo ya walio weng.
 
mtaje bwana hapa ndio jf

Si ndiyo namie bado namtazama Ruta kwa jicho la tatu, ni kwamba tuelewe mleta mada jina analo, hajaamua kulitupa hapa, au nae ni kama sisi hajalijua, kwa maana kama jina analo hana sababu ya kulihifadhi, hapa Jf hatunaga vya kesi iko sijui mahakamani !
Hapa ni kusanua tu, muulize Madam Rwakatare anatujua vizuri.
 
Mwache aseme bwana mbona unamziba mdomo? Ruta tupe data wakwetu tunakusubiri.

Skype nimeomba mji nikaishia kupewa kijiji.....................labda nibaini wasifu wa huyu mheshimiwa fataki:-

a) Kabila ni msukuma
b) Dini ni mkristu
c) Elimu yake ni LLB/LLM/post graduate certificate ya.........................jazeni ,wenyewe
d) Mbunge wa CCM..........
e) Naibu waziri na sasa waziri .wizara hiyohiyo........
f)Anachemkia sana kutetea ufisadi mkubwa kwenye wizara yake...........
g) Kichwa ni upara wa kujitakia au wa ARVs..............sina uhakika hapo.....
h)Kipenzi cha JK......................
i) Anaambukiza watoto wetu mabinti na vvu kila kukicha.................
j) Ana katoto kachanga bado kanatambaa..............asichojua nikuwa chochote umtendeacho mwenzio Mwenyezi Mungu atahakikisha kinakurudia wewe mwenyewe..........hata kama basi laana yako itapitia kwa kinda wako kwa sabau mwenyezi Mungu alisema hivi.......

Isaiah 54:13 "All your children shall be taught by the LORD and great shall be peace of your children."

Watoto wako watapoharibika hutakuwa na furaha moyoni...................tuwaheshimu wa watoto hata kama siyo wa sisi wenyewe kuwazaa.........................kwa sababu chochote uwatendeacho watoto wa mwenzio kitakuja kula kwako siku moja na utaoona kwa macho yako na hutakuwa na majibu ila kilio na kusaga meno........
 
huu ni msemo wa kihaya,nimesoma na wahaya na katka watu niliosomanao kuna mtu alikua anatumia jina la rutashubanyuma.nimesema nomaya akanyasi kalokusiga mazi(unajua jani litakalokupaka kinyesi)kaikala kainamile(huwa likaaga limeinama)msemo huu wanadai ulitokana na ile tabia ya kujisaidia vichakani,yaani mtu unaenda kujisaidia vichakan alafu wakati unainuka kumbe kuna kajani ambako kalishika kwenye kinyesi kakiwa kameinama mara kanayatuka na kukupaka kinyesi.hii namfananisha na mleta mada kaileta kimajungu,tunamwambie ataje hataki mwisho anaweza kumtaja skype kwa evidence za uongo lakin za kuaminika kisha watu tukakuweka kwenye orodha.maana inaonekana hajui ila anapima upepo kisha amtaje yoyote atakaye endana na mawazo ya walio weng.

mkono wwa mjinga huandika popote pale hata chooni.......kwa mavi yake mwenyewe
 
Mimi nawajua washiriki wote wa movie hili la uzinzi na nikikereka ntawaanika hapa sasa hivi.

Ingekuwa poa kama mngetupia photos wakiwa na huyo binti, bila kusahau majina yao ili wananchi wao washuhudie live upuuzi wa viongozi wao!! Yaani majimboni kila siku njaa tu, umeme na maji ishakuwa kama wimbo wa taifa......alafu bado wanajineemesha kwa mabinti zetu?? Khaaa....this is too much kwakweli, washatudharau vya kutosha......na mabinti zetu watuharibie????
 
Si ndiyo namie bado namtazama Ruta kwa jicho la tatu, ni kwamba tuelewe mleta mada jina analo, hajaamua kulitupa hapa, au nae ni kama sisi hajalijua, kwa maana kama jina analo hana sababu ya kulihifadhi, hapa Jf hatunaga vya kesi iko sijui mahakamani !
Hapa ni kusanua tu, muulize Madam Rwakatare anatujua vizuri.

nimeombe mji nikapewa kijiji...kosa la nani?
 
Ingekuwa poa kama mngetupia photos wakiwa na huyo binti, bila kusahau majina yao ili wananchi wao washuhudie live upuuzi wa viongozi wao!! Yaani majimboni kila siku njaa tu, umeme na maji ishakuwa kama wimbo wa taifa......alafu bado wanajineemesha kwa mabinti zetu?? Khaaa....this is too much kwakweli, washatudharau vya kutosha......na mabinti zetu watuharibie????

nina jukumu la kumfikiria mke wake na kutomwaibisha hapa jamvini.....lol
 
Ngel...............jaaaaaaaaaa aameni meni

wasema wewe.....................ingawaje kuna.............mhhhhhhhhhh.

Nimekwama na kiazi kooni nitarudi baadaye............
 
nimeomba mji siyo kijiji wajamani...tujifunze kujibu maswali kwa ufasaha.......

Ni kweli sijakupa mji na badala yake nimekupa kijiji.
Kwa jinsi limovie lilivokaa kiuzinzi nikaona nikupe japo kijiji atokacho mhusudu uzinzi ili ukajionee mwenyewe ya huko uweze kutunyetisha zaidi. Bado nasisitiza "Nenda msoga kijijini"
 
Kwa jinsi limovie lilivokaa kiuzinzi nikaona nikupe japo kijiji atokacho mhusudu uzinzi ili ukajionee mwenyewe ya huko uweze kutunyetisha zaidi. Bado nasisitiza "Nenda msoga kijijini"

kila la kheri.........................wikendi njema.......................am offline till 2morrow.................
 
Back
Top Bottom