Waziri Dr. Mpango: Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi lakini una kasoro hizi

Hua najiuliza tatizo ni siasa ama elimu inayozalisha wataalamu wanaoendeshwa na siasa?.Bado safari ni ndefu.
 
Tatizo la waziri mpango ni kusema ukweli. Yeye angesema uchumi wa nchi UNAPOROMOKA KWA KASI, RAIS HASHAURIKI, UCHUMI UNAKUFA wangemuita JINIAS, ANAJITAMBUA, MSOMI, GWIJI,
 
Watanzania bwana angesema bila kusema changamoto mngemdhihaki kasema changamoto ili nasisi tutoe mchango cha kipi kifanyike bado mnadhihaki,kwaiyo mlitaka aseme nini?
 
Hawa ndio wanasababisha uchumi wa nchi unakuwa mgumu. Dokta mzima unachokisema ni tofauti kabisa na hali halis
 
Uchumi kukua kwa asilimia 7 si mchezo unakimbizana na China na South Afrika....hongera sana rais Magufuli
 
Hawa kina mpango ,ni wehu na ndio wanampotosha Magu......theory zao za kufundisha zime prove failure ya wazi wazi ni aibu Dr mzima amezidiwa hata na Saada Mkuya
Hivi mtu asiposema kitu kinacho satisfy tamaa yako ndiyo awe failure?

Acheni umbea kafanyeni kazi za uzalishaji au za kuhudumia watanzania...tatizo mmejiajiri kwenye kuchuuza biashara za mafisadi zilizo changanyika na illegals i.e mihadarati na poaching pamoja na zile za makuadi wa uchumi wa dunia...Huo uchumi wenu fake msubiri miaka 1000 baada ya haya maagano tuliyonayo sisi na mwenye enzi!
 
Back
Top Bottom