#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Tabu za aina hii zinafanya wengine tutamani kukodi utawala wa Taliban utusaidie kunyosha nchi angalau kwa miezi Sita tu.

Usikute hata kule juu kabisa matabasamu yanamwagika tu kwa “burdan” hiyo: “I wish I could be D...”!
 
SASA CHA AJABU HAPO NI KIPI KILA MWENYE MKE SI HUWA ANAFANYA HILO TENDO AU KUNA WENGINE WAMEOA LAKINI WANAKAA NAO TU KAMA SANAMU?NI SAWA NA MTU KUONA AIBU KUSEMA ANAKUNYAGA
Pole kijana, ukikua ndio utakujafahamu madhara ya kufua nguo zako za ndani, hadharani.
 
ndio viongozi wetu.......suala la kuwapima akili viongozi wetu linatakiwa liwemo kwenye katiba.......mwanamke kukazwa ni wajibu,,,but hatuhitaji kujua uwajibikaji wako...aibu kwa taifa.....pambafu sana...
 
NAOMBA kuuliza Kama huyu mama kasoma URUSI

Anakila dalili za kuonesha kasoma huko Nina anko wangu kasoma huko yaan wanafanana kitabia na huyu mama kabisa
CHECK THE BOLD BELOW ILA NI SHAURI YA AKILI NYINGI

ACADEMIC PROFILE AND CAREER DEVELOPMENT
Master’s
degree Program
Qualification
:
Masters of Public Health (MPH)
Institute
: Royal Tropical Institute of Netherlands
.
Period
: September, 2008-September,2009
Bachelor degree Program
Qualification
:
First Degree in Medicine Institute
: Nizhniy Novgorod Medical Academy
Russia,
Period
: September,1994-2001
 
Kwani alikuwa na maradhi gani?


Maradhi ni kwamba; chanjo inayo madhara ya kijinsia, sasa yeye kaweka wazi kwamba hakuna madhara ya aina hiyo, hapo ndipo kafuchua maradhi ili tusiumbuke kwa vifo vya Covid.
 
Katesti mitambo ina maana kapiga shoo hakuna tatizo lililojitokeza kwa kuchanjwa chanjo ya UVIKO 19
 
Katesti mitambo ina maana kapiga shoo hakuna tatizo lililojitokeza kwa kuchanjwa chanjo ya UVIKO 19
Apate mimba,alafu tuone Mtoto wake atakavyotoka,na baada ya kumuona Mtoto ndiyo tunafunga uchunguzi wetu kuhusu Chanjo!!
 
Back
Top Bottom