Waziri Dorothy Gwajima aagiza Baraza la Madaktari kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa wa COVID-19

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,933
25,264
20210930_205628.jpg

Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari (MAT) kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa na chanjo dhidi ya UVIKO19.

Amesema atakayeshindwa kuthibitisha taarifa zake atachukuliwa hatua, lengo likiwa ni kudhibiti upotoshaji.
 
Nigawieni kiasi nami nisapoti hii kampeni yenu uchwara, I didn’t come this far just to come this far.!
 
View attachment 1958620
Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari (MAT) kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa na chanjo dhidi ya UVIKO19.

Amesema atakayeshindwa kuthibitisha taarifa zake atachukuliwa hatua, lengo likiwa ni kudhibiti upotoshaji.
Aanze yeye kuthibitisha kwamba alitestiwa mitambo na ikakutwa iko fiti, alaete ushahidi wa picha ikiwezekana, la sivyo ni upotoshaji alifanya, na yeye achukuliwe hatua
 
Kumekucha Sasa Hivi
Mabeberu Wanataka Taarifa Zitolewe Ndiyo Tupewe Mzigo
Bongo hii au Cuba? Watu tayari wanavyeti vyao vya chanjo huku chanjo zinamwagwa...nywele ngumu Mungu alitupendelea Sana katika survival skills!
 
Si jambo zuri kuzuia ukweli usisimwe, ni kweli covid 19 inatesa serikali nyingi duniani na viongozi wake wameparanganyika kisiasa namna ya kukabiliana na ugonjwa huu, kamwe haitawezekana watu wawe na msimamo mmoja dhidi ya ugonjwa huu, tofauti lazima ziwepo, huko mbeleni kuna upande utashinda na upande mwingine kushindwa kwa aibu kuu, time will tell
 
Hata kuzuia ukweli usisemwe nao ni upotoshaji, upotoshaji hufanywa na pande mbili kinzanifu, kwenye ukweli na kwenye uongo
 
Mnafiki asiye na aibu huyu! Nikikumbuka matendo yake na msimamo wake enzi za Hayati nachoka kabisa!
 
Back
Top Bottom