HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,364
- 94,543
Unataka maendeleo hutaki changiaWameacha kukwapua pesa Kutoka kwa akaunti zetu, sasa wanazichukua kwa kisheria zaidi. Kodi ya majengo kupitia Luku ni wizi wa wazi kabisa. Kama nyumba ina mita za Luku Zaidi ya moja ina maana kila mita Itakatwa Kodi ya jengo.