Waziri Chami amwaga chozi - Awataka watumishi wamuombee asiadhirike

Apeleke ujuha na unafiki huko,, hivi alipodai kutokuwa na ripoti ambayo kwayo angeutumia kumwajibisha ekelege alikuwa ana maanisha nn, Hivi ni kweli kabisa waziri kudai kuwa hajaona ripoti yenye madudu ya mkurungenzi wa TBS, nauliza wadau ni kweli?
Hivi wakati anatoa kauli hii alikuwa na dhamira ya kweli moyoni mwake....juu kile alichotaka umma wa watanzania umuelewe,,,
Mi naamini kwa dhati kabisa anastahili yote yaliyomkuta,,
 
Mwacheni apumzike. Mambo mengi yamemkuta huyu bwana mdogo.

Kwanza bado mgonjwa,
Pili walivunja nyumba yake huko kibosho na kukomba kila kitu,
Tatu kazushiwa kifo,
Nne kapungua uzito sana,
Tano kafukuzwa uwaziri, na
Sita, fungakazi 2015 Jimbo lake linaenda Chadema.

Kwa madhila yote haya, kidume lazima mchozi umtoke.

hahaaaaa
7..ana machozi ya karibu sana kama pinda
 
embu atoke zake huko...hana hata aibu..yeye analia amevuliwa uwaziri...wananchi aliokua anawaongoza wanalia kila siku kwa sababu wanakosa ada ya kuwalipia watoto wao shule...wanalia kwa sababu hawajui kama watapata hela ya kula kesho..wanalia kwa sababu watoto wao wanaumwa na hawajui watawalipiaje madawa huko hospitalini....yeye analia kwa sababu kavuliwa uwaziri...mtu ana majumba ya kifahari na bank accounts zimenona..stupid mot**********:angry:
 
Mwacheni apumzike. Mambo mengi yamemkuta huyu bwana mdogo.

Kwanza bado mgonjwa,
Pili walivunja nyumba yake huko kibosho na kukomba kila kitu,
Tatu kazushiwa kifo,
Nne kapungua uzito sana,
Tano kafukuzwa uwaziri, na
Sita, fungakazi 2015 Jimbo lake linaenda Chadema.

Kwa madhila yote haya, kidume lazima mchozi umtoke.

Vp ameumia??
 
Kumbe inauma? Nashauri vyeti vyake vyote vifungiwe ili iwe funzo kwa wezi wengine. Alaf anasema aombewe anapo enda kwan anaenda wap
 
Ndio huwa siwaelewi! Kwa hiyo unakuwa Waziri mwadilifu wakati watu wote chini yako ni wezi, unakaa tu huchukui hatua halafu unalialia hapa! Acha ujinga Chami!

Tena bila aibu Chami anaongea hovyo hovyo, anakiburi sana huyu... waziri anayekingia wezi kifua yy pia ni mwizi kama huyu Chami... hafai... akalie kwao huko shit....
 
Apeleke ujuha na unafiki huko,, hivi alipodai kutokuwa na ripoti ambayo kwayo angeutumia kumwajibisha ekelege alikuwa ana maanisha nn, Hivi ni kweli kabisa waziri kudai kuwa hajaona ripoti yenye madudu ya mkurungenzi wa TBS, nauliza wadau ni kweli?
Hivi wakati anatoa kauli hii alikuwa na dhamira ya kweli moyoni mwake....juu kile alichotaka umma wa watanzania umuelewe,,,
Mi naamini kwa dhati kabisa anastahili yote yaliyomkuta,,

Napata shida sana, mbona Nyalandu na Malima wamerejeshwa kwenye baraza? Nasikia Nyalandu anafadhili WAMA ni kweli? Na huyo Malima je amewezaje kuwa msafi ndani ya wizara chafu kama Nishati na madini? Ninajiuliza sana sipati jibu.
 
mwizi hata kama kaiba na kukamatwa huwa hayuko tayari kukubali makosa yake.
 
Kama huyu waziri ni Mchagga basi kama kuna wizi anahusika moja kwa moja. Ripoti za Wabunge alizikalia na akawa anatetea, Why? kama hahusiki!
 
Ndio faida ya Ushikaji katika kaziiiiii

From PJN @ Selous Forest

Walatini wanasema Quid Pro Quo....scratch my back, I will scratch yours. Hana sababu ya kulia maana huo mchezo wameuzoea serikalini. Wanalindana sana sasa times change
 
ekelege wala sio mkongwe kwenye system..hakuna mtu mbaya kama yule..kile cheo amekishika baada ya kumuua alie kua akikalie kiti kile ambae alikua ni finance and admin manager na wakongwe wote wa tbs makao makuu wanajua..jamaa mshirikina hakuna mfano na fisadi sana..na bado..atateseka sana na hatokua na mwisho mzuri..kawachinja sana watu pale..muoneni vile vile..sio mtu yule na mungu atamkomesha we ngoja tu!


matairi wanapima kwa kuangalia tuu kwa macho!!! Hakuna kifaa hata kimoja!! Ama kweli ajali hazitaisha hapa nchini, wote na timu yake poluted... Ni vema akaondoka nao na waje wengine toka nje ya tbs maana wote wameoza. Pesa yote inaliwa ktk vikao visivo na tija ati allowance. Kikao kama bwana fedha halina jina lake kwa kuwa haluhudhuria pesa haitolewe. Kwahiyo kila kikao kinachofanyika jina la kwanza ni masikitiko ( mkurugenzi wa fedha) vinginevo allowance haitoki... Jamani iundwe tbs mpya.. Watalaam wapo kibao.:a s 465:
 
Hivi nini tofauti ya mshahara wa mbunge wa kawaida na waziri? Maana haya machozi ya ndugu yangu mchaga huyu yana harufu ya pesa
 
dongo kubwa kwa nyalandu.

Naona kuna hoja kuhusu dr. Kumchukulia hatua ekelege. Serikali haifanyi kazi kwa maneno inafanya kazi kwa taarifa.

Mbona dr. Chami ameondoka lakini ekelege bado anapeta? Nilidhani waziri mpya angeanza naye.

ni vema ekelege na timu yake wote wakapisha nafasi zao maana hakuna msafi hata mmoja... They are all polluted
 
Back
Top Bottom