Waziri Bernard Membe kalipotosha Bunge kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa

Mkuu Nikupateje this is too technical for a common mwananchi like me to comprehend!Umezama sana kwenye hivyo vipimo. Mimi nasubiri tu amri tulichukue ziwa lote.

Kimbunga hadi hapo nakupa tano, kwakuwa mwanajeshi anakuwa tayari kwa kazi 24/7 ni suala la amri tu anaanza kazi.
Vuta subira kido membe ajaribu kutupa karata kwa wanyasa!
 
Last edited by a moderator:
kama elimu ya geography hajakusaidia nenda mtafute mtaalamu wa sheria akusaidie kidogo ujue kwenye sheria hakuna kitu kinacho tolewa free? kuna concept ya something for something, sasa ukifuatilia hizo treat za heligoland ni kwamba walikuwa wana peana kitu kwa kitu mfano wewe chukua kisiwa hiki mimi nachukua hiki? , sasa ni ilikuwa trade off ya lake nyasa? pili kuna kitu ambacho kinaitwa bad in law , hata kama hicho kitu kipo kisheria? na ndio maana dunia ina badilika hapo zamani labda akina mama hawakuruhusiwa kupiga kura, lakini kutokana na kujengeka kwa elimu nk ili onekana hicho kitu ni bad in law.

Hivi unadhani haya uliyoeleza yanamsaidia Membe atakapokaa na wamalawi hapo August 20, 2012? Mbona kakaa nao majuzi lakini akienda hewani na mwenzake wa Malawi ni kama vile Membe anafundishwa geography and history?!
 
Kimbunga Mkuu Nikupateje this is too technical for a common mwananchi like me to comprehend!Umezama sana kwenye hivyo vipimo. Mimi nasubiri tu amri tulichukue ziwa lote

Utaalamu inaweza kuwa calculation za kupata distance maana ni kweli huwa zina-treaty dunia kama oblate sphere na wengine hata circle tuliyojifunza form 3 ni kazi kwao.

Lakini kazi ya kuangalia longitude na latitude hiyo ni rahisi hata standard six anaiweza. Chukua ramani yoyote ya Tanzania halafu angalia latitude 9 South uone ilivyo nje kabisa na ulinganishe na jibu alilotoa Membe Bungeni.

Chukua latitude 11 halafu uone ilivyo mbali na Mbamba Bay na uone ninayosema humu.

Kuchemka kwa Membe Bungeni ni dalili mbaya kwetu kwamba hata akiwa kwenye meza ya mazungumzo na wenzake wa Malawi basi sisi wana JF hatuna uwezo wa kuingia kwenye chumba cha mkutano.
 
Nimeisoma Heligoland Treaty neno kwa neno na nimerudia mara kadhaa. Na kila nikiisoma sioni tutachomokea wapi kuhusu hili la Malawi.

Je kusoma Heligoland Treaty pekee kunatosha kukupa nguvu ja kujenga hoja ya Ziwa Nyasa?

Ni Heligoland Treaty ipi unayoiamini? Ni ile inayoaminiwa na Tanzania au inayoaminiwa na Malawi?

Kumbuka waingereza walipangua makubaliano ya Heligoland Treaty na kuweka mpaka uwe katika ya ziwa kipindi hicho ambacho kilikuwa cha vuguvugu la ukombozi, na waingereza haohao tena waka urudisha tena mpaka huo uwe kwenye ufukwe lakini hapakuwa na mkataba yalikuwa ni maamuzi ya kidola tu tofauti na maamuzi yao ya AWALI!

Ndio maana baada ya uhuru wa Tanganyika tulirithi mpaka wa KATIKATI

Miaka minne baadae Malawi walipata uhuru, wakarithi kile tulichorithi sisi (Tanganyika) lakini kwakuwa historia ilikuwa ikisimulika vema kuwa Heligoland Treaty ya AWALI ilisema mpaka ni mwambao,majadiliano ya nchi hizi mbili yalianza na mwalimu alitoa miaka 3 kuhakikisha mgogoro huu unamalizwa zaidi ya hapo Mwalimu hatatambua tena marekebisho ya mwisho ya waingereza!

Kwasababu za kiitikadi, uhusiano kati ya Mawalimu na Kamuzu Banda uliharibika vibaya na Banda alianza uchokozi rasmi wakuliteka Ziwa kama alivyofanya huyu mpwa wake Joyce,

Nyerere hakuchelewa, manowari za Malawi mbili zilizamishwa pale ziwani katika vita iliyochukua saa 2 na inayotajwa kuwa ni vita ya masaa machache zaidi duniani na ambayo haikutangazwa popote!

Narudia Mpaka wa Tanzania na Malawi ni KATIKATI ya ziwa Nyasa
 
Kimbunga hadi hapo nakupa tano, kwakuwa mwanajeshi anakuwa tayari kwa kazi 24/7 ni suala la amri tu anaanza kazi.
Vuta subira kido membe ajaribu kutupa karata kwa wanyasa!

Mkuu sisi hatuangalii vipimo wala nini. Sisi tunasubiri tu amri tuwafukuze hadi tytakapopata amri nyingine kwamba hapo panatosha vinginevyo tuanzama na kuwaweka watu wetu kama tulivyowaweka akina Lule kule Kampalaaa! Jambo moja la uhakika ni kwamba jeshi letu liko imara. Tunasubiri wanasiasa wamalize mambo yao kama tunaingia mzigoni tuingie fasta. Mkuu Mwita Maranya hata mimi nakupa five kwa kuwa kwenye nchi hakuna ushabiki wa kisiasa; hapo ni uzalendo tu.
 
Last edited by a moderator:
Je kusoma Heligoland Treaty pekee kunatosha kukupa nguvu ja kujenga hoja ya Ziwa Nyasa?

Ni Heligoland Treaty ipi unayoiamini? Ni ile inayoaminiwa na Tanzania au inayoaminiwa na Malawi?

Kumbuka waingereza walipangua makubaliano ya Heligoland Treaty na kuweka mpaka uwe katika ya ziwa kipindi hicho ambacho kilikuwa cha vuguvugu la ukombozi, na waingereza haohao tena waka urudisha tena mpaka huo uwe kwenye ufukwe lakini hapakuwa na mkataba yalikuwa ni maamuzi ya kidola tu tofauti na maamuzi yao ya AWALI!

Ndio maana baada ya uhuru wa Tanganyika tulirithi mpaka wa KATIKATI

Miaka minne baadae Malawi walipata uhuru, wakarithi kile tulichorithi sisi (Tanganyika) lakini kwakuwa historia ilikuwa ikisimulika vema kuwa Heligoland Treaty ya AWALI ilisema mpaka ni mwambao,majadiliano ya nchi hizi mbili yalianza na mwalimu alitoa miaka 3 kuhakikisha mgogoro huu unamalizwa zaidi ya hapo Mwalimu hatatambua tena marekebisho ya mwisho ya waingereza!

Kwasababu za kiitikadi, uhusiano kati ya Mawalimu na Kamuzu Banda uliharibika vibaya na Banda alianza uchokozi rasmi wakuliteka Ziwa kama alivyofanya huyu mpwa wake Joyce,

Nyerere hakuchelewa, manowari za Malawi mbili zilizamishwa pale ziwani katika vita iliyochukua saa 2 na inayotajwa kuwa ni vita ya masaa machache zaidi duniani na ambayo haikutangazwa popote!

Narudia Mpaka wa Tanzania na Malawi ni KATIKATI ya ziwa Nyasa

Hakuna Heligoland Treaty ya Tanzania au ya Malawi. Heligoland Treaty kwa siku zote ni ileile moja na jina jingine inaitwa Anglo-German Agreement of 1890.

Hata Membe hajasema kwamba kuna mkataba mwingine zaidi ya huu (Helligoland) ama katika archive za Tanzania au za Malawi zinazoeleza ugawaji mpya wa mpaka huu uliopita kwenye kingo za ziwa {Eastern shore of Lake Malawi}.

Mkataba wenye mipaka ni huu tu. Hayo maneno au michoro mingine kama una justification nenda kai-submit kwa Membe upate award tushinde kesi hii.
 
mimi si mnyasa na sina uhusiano na wanyasa. napenda kusoma historia na kujua chanzo cha mambo. kila mara najaribu kufuata mantiki mpaka mwisho wake. na siyo kuamua tu kwamba kwa vile jambo litanifaa hivi, basi na iwe hivyo.
once more, soma historia ya jinsi mipaka ilivyowekwa. na soma maazimio yalikuwa kunapokuwa na utata hivyo, tutatatua vipi. wamalawi walianza mara baada ya uhuru kwa sababu serikali ya tanganyika ilijaribu kufanya majadiliano kuubadili mpaka huo. hawajaanza leo kudai ziwa ni lao.
tusipolichukulia suala hili kisomi na kitaalamu na kutumia jazba badala ya hoja, tutalikosa ziwa katika forum za kimataifa. haisaidii lolote unapokataa hoja na kudai tu watu wanaotoa hoja ni wanyasa au wamalawi.
 
ziwa nyasa liko malawi ndg,ingien google kila kitu kipo wazi

umekurupuka njoo na vigezo.na utwambie kwa nini Mwl. Nyerere alipigana vita na Banda kutetea ziwa hilo na iweje sisi tuliachie leo kiraisi tu.?
 
Mkuu sisi hatuangalii vipimo wala nini. Sisi tunasubiri tu amri tuwafukuze hadi tytakapopata amri nyingine kwamba hapo panatosha vinginevyo tuanzama na kuwaweka watu wetu kama tulivyowaweka akina Lule kule Kampalaaa! Jambo moja la uhakika ni kwamba jeshi letu liko imara. Tunasubiri wanasiasa wamalize mambo yao kama tunaingia mzigoni tuingie fasta. Mkuu Mwita Maranya hata mimi nakupa five kwa kuwa kwenye nchi hakuna ushabiki wa kisiasa; hapo ni uzalendo tu.

Mkuu Kimbunga,

Unajua hata wale askari wanaowatwanga CHADEMA virungu au risasi kwenye maandamano nao husubiri amri tu kama wewe hapa. Muulize Josephine Slaa siku ile ya January 05, 2011 pale Arusha.
 
Lakini baada ya kusoma speech ya Membe basi matumaini yote ya kulipata Lake Malawi yamenitoka. Narudia sipingi Tanzania kupata sehemu ndogo ya Lake Malawi kama baadhi mnavyoropoka. Na hata mnavyoropoa wengine hainipi matumani ya kulipata hilo Ziwa. Lakini aliyenisikitisha zaidi ni Waziri Membe na sasa kwangu ni dhahiri kwamba tusahau kabisa kulipata Ziwa hili.

Nashawishika kuamini kuwa wewe sio mtanzania mwenzetu haiwezekani toka asubuhi wewe unaangalia advantage za Malawi tu, na mpk unatutukana hapo kwenye red tuache watanganyika tupiganie ardhi yetu huo udhaifu wetu wapelekee wamalawi ili wakajipange
 
Katika hili nichangie kwa kusema kuwa ni kweli taarifa ya kisayansi haipingwi kwa maneno matupu. Mie si mtaalam wa Geography hivyo nashauri kama kuna errors kama hizo za nyuzi hizo zirekebishwa tu kwa ajili ya kuongeza ufasaha. Lakini nimtoe hofu bwana Nikupateje kuwa makosa hayo hayawezi hata kidogo kuinyima Tanzania haki yake ktk ziwa nyasa.
Hoja ya Tanzania iko kisheria zaidi kuwa kuna vitu ambavyo vilikubaliwa wakati ule ambavyo kwasasa vinaenda kinyume na sheria au na haki za binadamu. Kwa mfano kulikuwa na mkataba uliokuwa unatukataza kabisa kutumia maji ya ziwa viktoria kwa miradi yoyote mikubwa, lakini baadae imeonekana hilo ni swala lisilowezekana na nadhani wote tunajua kuwa sasa tunatumia.
Kwa misingi hiyohiyo Tanzania ina hoja pia kwenye swala la ziwa nyasa, maana katika sheria za kimataifa kuhusu large water bodies, ni kuwa water body yoyote ile inayopakana na nchi zaidi ya moja basi mpaka unatakiwa kuwa ndani ya maji ili kuzifanya jamii zote zinazozunguka eneo hilo ziweze kupata haki.
Kwa upande mwingine tufanye kama kweli wamalawi wamepewa ziwa lote, je wapo tayari kutulipa udongo wetu unaovutwa kila wimbi linapovuka mpaka kwa bei tutakayopanga? ukizingatia mawimbi ni masaa ishirini na nne na kila wimbi lazima livuke mpaka ule uliotajwa kwenye Helgoland treaty. Ndio maana Tanzania inauita huo mpaka kuwa ni 'illogical'.
Na kwasasa Malawi inapima upepo tu maana ni tabia ya malawi kuleta malalamiko ya mipaka. Wao wanasema malawi inahusisha ziwa lote na maeneo ya rungwe, kyela, ileje, ludewa mpaka maeneo ya msumbiji na hata zambia. Kwahiyo wakichekewa tu watatusumbua sana, sie tunaotoka karibu na mpaka tunajua kero za wamalawi.
Mwisho mie ni mmoja wa watanzania ambao hatupo tayari kupoteza kipande chetu ndani ya ziwa nyasa ktk hali yoyote ile. Katika hali hii namkumbuka mkapa jinsi alivyowashughulikia warundi kwa vitendo, sipendi! tena sipendi mtu anayetaka kuleta siasa kwenye mambo serious kama haya,ndio maana malawi nao wanajaribu kutunisha misuli maana wameshajua Tanzania imelala kwa muda haiko active kama kawaida yake.
 
Tatizo ni kwamba Membe na wenzake wanavyotutaarifu na hoja zao ambazo zinapingika kirahisi si kama unavyoeleza humu. Ndiyo maana tunamjadili sana Membe kwani hoja yako inaweza kuwa hoja binafsi hata kama ina uzuri gani.

Binafsi, ninapenda zaidi suala hili lifike international artbitration level kuliko hapa lilipo ili ukweli ujulikane na ndipo tutajua kuwa hata humu JF ni nani alikuwa mzalendo.

Uzalendo ni pamoja na kuiepusha nchi na aibu yoyote inayotarajiwa kuikumba taifa.
 
hukumundo mbona unachotaka kunishauri ndicho unachofanya? Akili nyingine sijui zikoje!
Anyway, labda unijibu swali la msingi hapa kwamba, Wamalawi walikuwa wapi miaka takribani 50 hawakuwahi kudai kwamba ziwa nyasa lote ni lao kama wanavyotumia nguvu nyingi sasahivi?
Mjadala huu wa mpaka umeanza siku nyingi kidogo na kila mara kuna watu wanaonekana wako upande wa malawi kwa hoja za kuungaunga wakichanganya na chache za ukweli.
Kama unatambua kwamba waafrika hatuhitaji kuwa watumwa wa mipaka ya wakoloni kwanini bado unatetea msimamo wa malawi? Kwahali kama hiyo tukikuita mnyasa utasema tunakosa hoja!? Nachoafahamu mimi ni kwamba mtoa hoja naye ni hoja!

Duh ama kweli!!! Ivi ni kwamba unatafuta kushinda au? Sawa inawezekana hawakupata uelewa huo kipind hicho sasa mambo ndo yameibuka, ivi kweli ndugu yangu kwa mfano ukaitwa kama shaidi huo utakua utetezi wako kweli , eti walikua wapi muda wote!!!

Sijaona popote pale alipo watetea wamalawi kinacho kushinda wewe ni uvivu wa kuelewa na kuamini hoja za Membe as if yeye awezi kukosea na kwamba eti kwakua ni waziri basi anaelewa kila kitu. Hili swala tusilifanye kiitikadi cse litatugarimu.Mleta mada ni mwenzetu na anachosema kinaeleweka sana hata huyo membe hataonekana mshamba akifuata ushauri wa huyu bwana.
 
Hapa naona unatoka povu tu. We subiri tu ****** akishalianzisha ndo ukamsomee vizuri hizo latitude
 
Chukua latitude 11 halafu uone ilivyo mbali na Mbamba Bay na uone ninayosema humu.
Kuchemka kwa Membe Bungeni ni dalili mbaya kwetu kwamba hata akiwa kwenye meza ya mazungumzo na wenzake wa Malawi basi sisi wana JF hatuna uwezo wa kuingia kwenye chumba cha mkutano.
hapo Mkuu sibishi lakini kitu chochote ni kukaa mezani hata Zanzibar leo wakitaka mpaka kati yao na tanganyika utatengenezwa kwani hao wanaotengeneza mipaka ni sisi binadamu tanaoishi wakati huu, Ukifuatilia wikipedia (maana Google hutaki) utagundua mengi yaliyojificha toka Livingstone Kamuzu Banda hata na J.K. kuhusu mpaka huo kupita katiakati ya ziwa
link
Lake Malawi - Wikipedia, the free encyclopedia
Further complications emerged for political reasons during the 1960s, when President Hastings Banda of Malawi became the only African leader to establish diplomatic relations with the white-ruled country of South Africa. This recognition of the South African regime was fiercely repudiated by almost all other African leaders, including President Julius Nyerere of Tanzania. This contrasting in policies toward South Africa gave some more impetus to disputes between Malawi and Tanzania, especially concerning the name of the lake itself — the water boundary between the two countries

When Livingstone asked his staff members, who were not from the area of the lake, to state its name for him, they said the word "nyasa",
Tanzania–Malawi dispute

The partition of Lake Nyasa's surface area between Malawi and Tanzania is under dispute. Tanzania claims that the international border runs through the middle of the lake.[SUP][10][/SUP] This is along the lines of the border that were set out between the German and British territories before 1914. On the other hand, Malawi claims the whole of the surface of this lake that is not in Mozambique, including the waters that are next to the shoreline of Tanzania. The foundations of this dispute were laid when the British colonial government, which had recently captured Tanganyika from Germany, placed all of the water under the jurisdiction of the territory of Nyasaland, without a separate administration for the Tanganyikan portion of the surface. This dispute has led to conflicts in the past na hata present tunataka kugombana hivyo tukae meza moja hiyo 20/82012 tutamaliza na mpaka utachorwa km haupo
 
Hapa naona unatoka povu tu. We subiri tu ****** akishalianzisha ndo ukamsomee vizuri hizo latitude

Ndiyo matatizo yenu nyinyi mliojiunga JF wiki moja baada ya uchaguzi wa 2010. Sijui kwa nini mlijiunga kwa wingi kipindi kile.
 
Serikali yetu inasikitisha sana. Wakati wenzetu wakitumia mikataba kama ushahidi, serikali yetu inatumia ramani!!!
Ramani iliyochorwa na Mwingereza???!!!. Kama mwingereza alikuwa na interest zake binafsi kuchora ramani hizo??!!
Serikali yetu inapaswa kutafuta strong evidences kwamba Ziwa Nyasa ni letu.

Kiongozi hujaelewa mantiki. Vyote viwili vinatubana. Ramani ndio iliyopelekea mkataba ambao inaondoa ziwa nyasa lote kwenye miliki ya Tanganyika. Wote mfahamu pia kuwa huyo huyo Mwingereza ambae ni chanzo cha ramani au mkataba (as the case may be) ndie aliyetawala nchi hizi mbili (South Rhodesia -Malawi) na Tanganyika (TZ). Ndie ambae sasa anahusika na exploration kwenye ziwa Nyasa au Malawi. Tunachopaswa kuangalia ni msingi wa hoja zetu! Kwani mipaka na nchi nyingine tumenaithibitisha kwa kutumia nini kati ya Ramani au Mikataba? Kama tukienda kwa staili hii eti mipaka iliwekwa na wakoloni hatuwezi kushinda hoja kwani bila hiyo mipaka ya wakoloni hata leo sisi tusingejiita nchi huru Tanzanian na hata ile kesi yetu na wakenya kuhusu mlima kilimanjaro au ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa pale Taveta tutakosa hoja za msingi kwa nini hilo eneo lisiwe la Kenya (nini kinatulinda)?!. Kwa hili hata tukienda kidiplomasia tutaingia kwenye chaka la kutengeneza mkataba mpya kama sio kuambiwa tumilikishwe sehemu ndogo ya ziwa nyasa kwa kuwa kisheria hatuna haki ya moja kwa moja. Kuwapiga stop Malawi wasifanye utafiti kwny ziwa lote hatuwezi, wao wanatueleza wamenza kwa eneo wanalotumia sasa na wanaweza kuendelea au kuacha pindi mgogoro wa umiliki wa ziwa ukiisha. Umakini unahitajika kwa hili, wabongo siku zote tunaishi kwa kutumaini huruma za wenzetu.
 
Nikupateje kwanza niseme tu kwamba sihitaji kukupata kama jina lako lilivyo.
Pili nikuulize unachohangaikia ni kitu gani? Ile thread yako nyingine ulipewa hoja za kutosha kukujibu hoja zako. Sasa umekuja kuanzisha nyingine yenye hoja zile zile.
Hii bidii unayofanya kujaribu kuhadaa watu na vilatitudes hapa wala haikusaidii wewe mnyasa na makuwadi wenzako wa kinyasa mliojazana hapa nchini.
Malawi hawawezi kumiliki ziwa lote, watake wasitake lazima kuna kipande chetu ndani ya ziwa nyasa.
huyo MNYASA katumwa, au ni Mkulo nini?? hawa watu tangu wawe na sheria ya kuruhusu ndoa ya jinsia moja akili zao zimehamia kwenye masaburi kabisa.
 
Back
Top Bottom