Waziri Bernard Membe autingisha mkoa wa Manyara apata wadhamini

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Manyara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo wilayani Babati Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Manyara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya Mkoa huo wilayani Babati Juni 18.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akikabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Babati, Daniel Ole Porokwa fomu zilizotiwa saini na wanachama wa CCM, nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Manyara Juni 18.2015, kwa ajili kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akionyesha fomu yenye orodha ya majina ya wadhamini wake baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Babati, Daniel Ole Porokwa (kushoto), nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Manyara Juni 18.2015, kwa ajili kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,200.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofurika nje ya Ofisi ya CCM ya Mkoa wa Manyara, wilayani Babati Juni 18.2015, wakati akondoka ofisni hapo baada ya kupata wadhamini zaidi ya 1,200 kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.

Yote tisa huyu bwana ni kama Simba mwenda pole sana au kama wanavyosema "Avumaye baharini papa, kumbe wengine wapo". Yuko kama dizaini ya Mkapa hivi.. ila ukiangalia hili kundi la watu karibu arobaini watakaokatwa kwanza itabidi warudi kujifikiria. Ukisalimika panga la pili (tano bora) basi wewe si utani na ukienda kwenye watatu bora basi lazima huko ndani uwe ni tishio fulani.
 
Aisee!!! Too wrong to compare this guy with Ben, ben alikuwa hajulikani kabisa. Huyu anajulikana kila pande na hata stlye yake ya uongozi inajulikana pia.
 
Amewalipa Sh ngapi? Maana tunasikia mwenzake,Lowassa analipa elfu 10 bodaboda na lita 3 kwa masaa 2?
 
Na yeye ameanza kutingisha asije akawa na yeye ameanza kutumia mbinu za Lowassa za kuandaa watu mapema kwa kuwalipa fedha ili aonekane ana tingisha kumbe ni janjajanja ndio inayotingisha.
 
Aisee!!! Too wrong to compare this guy with Ben, ben alikuwa hajulikani kabisa. Huyu anajulikana kila pande na hata stlye yake ya uongozi inajulikana pia.

Style Gani ? Ya kupenda Visasi ? au ya Unafiki ? Au ile ya Ufisadi wa Pesa za wageni na ununuzi nyumba za Balozi nje ya Nchi ? Ni style gani hiyo ? au ni Ule Wizi wa Mabilioni ya Marehemu Gadafi Kisha Balozi akafariki kifo cha Utata ili kuficha Ushahidi ?
 
Amini usiamini Membe akiingia ikulu lazima atajenga magereza mapya kwani atawafunga wengi jela kwani ni bonge la dikiteta
 
Style Gani ? Ya kupenda Visasi ? au ya Unafiki ? Au ile ya Ufisadi wa Pesa za wageni na ununuzi nyumba za Balozi nje ya Nchi ? Ni style gani hiyo ? au ni Ule Wizi wa Mabilioni ya Marehemu Gadafi Kisha Balozi akafariki kifo cha Utata ili kuficha Ushahidi ?

You said it all!! Mkuu wangu unaonekana wewe ni mtu mwenye hekima tena mwenye kujua mengi sana na mwenye elim kubwa tu. Ila hiko jina lako haliendani na mabandiko yako . Wa pm moderators badilish jina mkuuu wangu. Is just an advice if you will agree.
 
Du kweli jamaa hauziki kabisa na hela zote za 1st family zikiongozwa na mh wa chalinze but anapata 1,200 tu????atahangaika sana,mngejitoa mapema tu na muanze kuwaunga wale wenzetu wa group lenu mapema maana hakuna hata mmoja atakaye sogelea mziki wa he e.n.lowassa!!!
 
Yote tisa huyu bwana ni kama Simba mwenda pole sana au kama wanavyosema "Avumaye baharini papa, kumbe wengine wapo". Yuko kama dizaini ya Mkapa hivi.. ila ukiangalia hili kundi la watu karibu arobaini watakaokatwa kwanza itabidi warudi kujifikiria. Ukisalimika panga la pili (tano bora) basi wewe si utani na ukienda kwenye watatu bora basi lazima huko ndani uwe ni tishio fulani.
Amna kitu umeongea. ..membe hafai na ni weak leader
 
Style Gani ? Ya kupenda Visasi ? au ya Unafiki ? Au ile ya Ufisadi wa Pesa za wageni na ununuzi nyumba za Balozi nje ya Nchi ? Ni style gani hiyo ? au ni Ule Wizi wa Mabilioni ya Marehemu Gadafi Kisha Balozi akafariki kifo cha Utata ili kuficha Ushahidi ?

Duh, hii kali kumbe naye ana lundo la mikashifa ya kifisadi huku akisema yeye ni msafi, uwiii.
 
Back
Top Bottom