Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

Wanaokunywa wanakuja kukuomba pesa ya kunywea?

Au wanakuomba pesa za kutumia na familia zao?

Acha waburudike nchi ngumu hii mitozo juu, vitu vinapanda bei, usipopombeka unaweza kufa na stress.
umenena mkuu acha watu wafurahi nchi ngumu sana hii
 
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
Wacha ukuda wewe. Kulewa ni maamuzi ya mtu sio kwa sababu ya wimbo.
Wewe mbona hujawa mlevi pamoja na kuusikia wimbo? Au huyo waziri mbona wimbo haujamuathiri kama kweli huo wimbo una uwezo wa kuhamasisha mtu kuwa mlevi.

Kama vipi nawe tunga wimbo wako wa kuhamasisha watu wasinywe ulabu.
 
Si walipunguza bei ili zinyweke, wacha watumiaji wasifie ladha.
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
 
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
Hivi unafahamu Bia inatuletea shilingi ngapi kwa mwezi? Unataka tusilipwe mishahara
 
Kama h
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
Aujitambui nenda kaishi mbinguni.wimbo tu nitakuletea nyege
 
ila tuache yote bia tamu😄😄 sisi wanywaji na walev tunachangia mapato kw nchi kwa kiwang kikubw sana
 
Back
Top Bottom