Labda umwambie apige marufuku vileo vyote nchini tuwe kama iran na saudia kama anao ubavu huoHuu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
B. A.B.UMbona kuna harufu kali ya dawa aina ya gentamicin kwenye thread hii.. kuna mtu anaugua?