Waziri Bashungwa: Wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania walipe tozo za muziki unaopigwa katika redio zao

Wasanii hawa hawa wanaohonga ili nyimbo zao zipigwe?
hali ikiwa hivi wasanii wadogo watakufa vibaya mno
 
Hii sheria nayo imekaa ndivyo sivyo si vyombo vyote vya habari vinagenerate income ya kutosha. Hivi what if na wenye vyombo vya habari wakaamua kuwachaji pesa wasanii ili waweze kupiga nyimbo zao...

Na wana haki kudai kama msanii kalipia studio kurecord, kalipia video production kwa nini asilipie distribution channels ambazo ni redio na TVs. Na wakigoma kuna nyimbo za Kenya, SA, Nigeria na nje ya Africa watapiga bila malipo yoyote.​
 
Basi waache wawe wanatangaza tuu tuone haaaa
 
Walisema mgema akisifiwa tembo ulitia maji, hivi hizi tozo mnataka kwenda mars? Mnawezaje kucompromise na wezi wa madini yetu na leo tunasikia dhahabu inachotwa kama mchanga alafu msifikirie juu ya wanyonge wa nchi hii? Mie naomba Tsunami kubwa ipige pale magogoni itusaidie ktk hili
 
Nchi ya hovyo hii hao wasanii wapya nani atawalipa kama sio kutaka wanamziki wakubwa wawe hao hao tuu..

Yaani tozo ni shilingi elfu 60 , jumlisha redio zote wasanii wako wangapi? Sasa watagawana nini? Hapo wao walitakiwa kubuni mbinu ili kazi za sanaa zisiibiwe huko bado hatujafika, zuia kazi kuibiwa, linda hakimiliki za wasanii wako, jenga arena tatu yaani Dar moja, Arusha na Mwanza ili kuruhusu matamasha makubwa kufanyika msimu wote wa mwaka, Hakikisha unaanzisha mfuko maalumu wa mikopo nafuu kwa wasanii, wape wasanii mafunzo ya ujasiliamali na jinsi ya kufanya branding halafu uone kama hawajapata utajiri wale wanaojielewa
 
Acheni huu UPUMBAVU wakutaka kuvuna mahali msipopanda Mlimpa Hela yakulipa Studio jinga kabisa

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio kima kabisa,waliolilia hizo tozo ni wasanii wenyewe hasa wadogo ambao hawana nguvu Ili wapate jasho lao kupitia Mgao watakaokubaliana kwenye chama Chao.

Tukitaka kuwadai kodi tunawadai vizuri tuu ndio maana nyie mnaopiga Kazi zao lazima mlipie,mijitu mnapenda vya bure ila kuwajibika na jasho la watu hamtaki pumbavu sana.
 
Back
Top Bottom