Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,302
- 24,143
Huyu mh. Waziri kijana, mh Bashungwa waziri wa viwanda na biashara naona katoa mpya.
Ati mkandarasi na wazabuni wanatakiwa wakope benki, husussn CRDB , ili watekeleze miradi ya serikali.
Huu ni msimamo hasi katika utekekezsji miradi.
Contractor siyo financier wa miradi ya serikali.
Haiingii akilini ukope , ufanye kazi alafu uishie kutolipwa, kitu ambacho kwa sasa ni kawaida.
Makandarasi wengi walio fanya kazi za serikali wameishia kufilisiwa na benki kutokana na kutolipwa na serikali kwa wakati au kutolipwa kabisa.
Hivyo mh. Bashungwa inaelekea hajui uhalisia wa sekta hii ya ujenzi.