Waziri Bashe sasa ndiyo ananza kuifahamu wizara yake

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Serikali leo imetangaza kusitisha kutoa vibali vya MAHINDI kwa wafanyabiashara kupeleka KENYA sababu kubwa ni upungufu wa CHAKULA nchini na tumeshachelewa.

Mavuno ya Tanzania ni July na muda wa mzunguko wa biashara ni July ~August, hapa mazao huwa bei chee kote, wafanyabiashara wakubwa hutumia muda huu kununua mazao mengi kwa wakulima.

Leo Serikali inazuia biashara hii ya MAHINDI muda ushaisha, MAHINDI hamna kuna uhaba mkubwa wa SEMBE nchini.

Malawi walifunga mipaka yao mwezi July sisi BASHE alisema hatafunga mipaka yamkini kakwama leo kaivunja kauli yake mwenyewe.

Tumechelewa sana kufanya maamuzi huu mwaka utakua mgumu sana kwa CHAKULA .
 
Hata mkifunga mipaka bei hatushushi yaani nyie mshatuona wakulima wasenge sana, sie tuteseke mashambani tukivuna mtuchagulie pakuuza.
 
Mahindi yapo Brazil ya kutosha tu hakuna shida

Shida ni kwa wavivu watakaoshindwa kupata hela ya kununua
 
Back
Top Bottom