Waziri Atoa Video ya Ngono, Afukuzwa Kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Atoa Video ya Ngono, Afukuzwa Kazi

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 12, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Karina Bolanos, mwanamama aliyekuwa akishikilia nafasi ya unaibu waziri wa vijana nchini Costa Rica[/TD]
  [TD]Naibu waziri wa vijana wa nchini Costa Rica amepoteza kazi yake baada ya video yake ya ngono kuvuja kwenye mitandao online.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Karina Bolanos, mwanamama aliyekuwa akishikilia nafasi ya unaibu waziri wa vijana nchini Costa Rica, amepoteza kazi yake baada ya kusimamishwa kazi pale video yake ya ngono ilipovuja online.

  Katika video hiyo, naibu waziri huyo anaonekana akiwa amevalia nguo za ndani tu akipanda kitandani akijizungusha zungusha huku akitoa maneno ya kimahaba kumuita mwanaume wake apande kitandani.

  Wizara ya utamaduni na vijana ya Costa Rica ilitoa taarifa kuwa kitendo cha naibu waziri huyo kimemfanya asistahili kuendelea kukaa madarakani.

  Katika kujitetea kwake, Karina alisema kuwa video hiyo ilirekodiwa miaka michache iliyopita na ilivujishwa online na mhandisi wa kompyuta aliyejaribu bila mafanikio kumchuna pesa naibu waziri huyo ili asiirushe hewani video hiyo.

  Tukio la kusimamishwa kazi kwa naibu waziri huyo ni pigo jingine kwa rais mwanamke wa Costa Rica, Laura Chinchilla ambaye amekumbwa na idadi kubwa ya kujizulu kwa mawaziri wake tangu alipochukua madaraka miaka miwili iliyopita.[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
  Waziri Atoa Video ya Ngono, Afukuzwa Kazi
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Alikuwa anaonyesha mfano kwa vijana,hapana mbaya!
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  ..bado yule mwanamke anayetusumbua wa malawi
   
 4. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ya kwake hiihapa
   
 5. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeshalewa pombekali, kazi ngumu, wanawake wazee, kulala saa nane usiku daily.:spy:
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mimi naona hakutendewa haki
   
Loading...