Waziri atakayefutwa kazi hivi karibuni

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,230
Habari zenu Mabibi na Mabwana.

Leo nimeona niwaletee jina la moja wa mawaziri atakaye tumbuliwa hivi karibuni kulingana na mwenendo wake.

Naye si mwingine ni Prof. Makame Mbarawa, kama hauamini andika mahali.

Asanteni.
Tumuombee.
 
Katikati Awamu Yangu Maneno Matamu Sitayasema Mimi Nitasema Makavu Makavu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Yule mzenji hawezi fukuzwa labda yafanyike mabadiliko tena jamaa anapiga sana kazi ,media zinawadanganya mkuu Magu anamkubali sana mchizi
 
Prof Makame sio.... Huyu Hapana labda Kigwangala taa za njano zimemuwakia hivyo awe stand by
 
Habari zenu Mabibi na Mabwana.

Leo nimeona niwaletee jina la moja wa mawaziri atakaye tumbuliwa hivi karibuni kulingana na mwenendo wake.

Naye si mwingine ni Prof. Makame Mbarawa, kama hauamini andika mahali.

Asanteni.
Tumuombee.


Anahanya hanya tu pamoja na KM wake miradi ya maji haiendi!!! huduma za maji kwenye miji na majiji mbovu kabisa
 
Hata kama kulikuwa na mpango wa kumtumbua, haiwezi fanyika tena kwa sasa!
Meko akishaona mambo yamevuja na uvumi ushaanza anabadilisha gia angani...
 
The guy at the top of the black list is Dr. Ofmangoes. Holder of 4 degrees but unfortunately he lost all of them and now reasons like a kid.
 
Au huyu aliyesema ambao hawajasajili line za simu ni makenge bila kujua boss wake hakuwa amesajili.
Bwana mkubwa kawa kenge. Kila siku wanaambiwa waweke akiba ya maneno. Kenge sana hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom