Waziri ataja sababu 3 za vurugu za Nyamongo

Watanzania tumeshajua ukweli; CDM hawachomoki na machafuko ya Nyamongo, KIASHIRIA kiko wazi Viongozi wa CDM walikuwa wanaijua move yote. Walikuwa wa kwanza kukimbilia Nyamongo baada ya tukio.
Halafu huyo waziri amekuwa wa ngapi kukimbilia huko?! Endeleeni kuujua ukweli siku mtakaposhukiwa mtaujua uongo... Msijesema hamkujua.
 
Watanzania tumeshajua ukweli; CDM hawachomoki na machafuko ya Nyamongo, KIASHIRIA kiko wazi Viongozi wa CDM walikuwa wanaijua move yote. Walikuwa wa kwanza kukimbilia Nyamongo baada ya tukio.
Na huyo waziri wenu akawa wa ngapi kukimbilia huko?! Endeleeni tu kuujua ukweli, siku mtakaposhukiwa mtaujua uongo!! Msijesema hamkujua.
 
Nimependa hii sababu ya tatu

Wawekezaji kushindwa kutimiza masharti ya uwekezaji juu ya kuboresha maisha ya wananchi wanaozunguka migodi

Nadhani hiyo ya tatu ndio sababu haswa, hizo zingine ni visababu! Maana kusema kuwepo kwa vijana wengi wasio na ajira kama mgodi umewakuta hapo na ndio nyumbani, na labda walikuwa wachimbaji wadogodogo walionyanganywa ardhi kumpa mwekezaji ina kuwaje wao kuwepo maeneo ya nyumbani iwe tatizo?

Pia hata hilo la wafanyabiashara wanachochea vijana naona kama vituko maana kwanini wasiwakamate hao watu badala ya kuuwa
 
Watanzania tumeshajua ukweli; CDM hawachomoki na machafuko ya Nyamongo, KIASHIRIA kiko wazi Viongozi wa CDM walikuwa wanaijua move yote. Walikuwa wa kwanza kukimbilia Nyamongo baada ya tukio.

Wewe na serikali yako na mke wako labda na watoto wako ,sio watz tafadhali
 
[/COLOR][/SIZE][/FONT]

  1. Kuwepo kwa makundi mbalimbali ya wafanyabiashara ambapo wengine wanafaidika na kuwepo kwa mgodi na wengine hawaifidiki. Wasiofadika na shughuli za uchimbaji madini wanashawishi vijana kuvamia mgodi kwa nia ya kuiba dhahabu.
  2. Kuwepo kwa uwingi wa vijana wasio na ajira wanaozunguka mgodi. Wengi wa vijana wanaona shughuli za mgodi haziwapi kipato cha ina yoyote hivyo wana mtazamo hasi dhidi ya wawekezaji pamoja na shughuli zao.
  3. Wawekezaji kushindwa kutimiza masharti ya uwekezaji juu ya kuboresha maisha ya wananchi wanaozunguka migodi.
[/QUOTE]
Lisu walimpeleka rumande kufanya nini kama wanajua yote haya?
hakimu hafukuzwa kazi alifanya hukumu/masharti kwa ushabiki
ni nani wa kuwawajibisha wawekezaji? mbona wanakuwa kama miungu mtu wafukuzwa kama wanakiuka masharti udikita ni sehemu ya uongozi pale inapobidi
 
Watanzania tumeshajua ukweli; CDM hawachomoki na machafuko ya Nyamongo, KIASHIRIA kiko wazi Viongozi wa CDM walikuwa wanaijua move yote. Walikuwa wa kwanza kukimbilia Nyamongo baada ya tukio.

Wewe uepata wapi haki ya kuwasemea watanzania, then aliye toa hizo sababu ni waziri wa Tanzania mwenye dhamana na siyo mwingine unabisha na kusema "watanzania tu..." Acha hizo wewe
 
Back
Top Bottom