Jibu utakalopewa ni kuwa Wamekuja kwa nyadhifa za kichama, na si kama mawaziri!Nimefuatilia kampeni za uchaguzi mdogo igunga,mi sidhani kama ni sahihi kwa viongozi kama mawaziri kushiriki kampeni,sababu waziri ni wa watanzania wote bila kujali vyama.Nimewaona Wasira,Magufuli n.k.Wadau mnasemaje..
Ndio maana tunataka katiba mpya ambayo tutaka mawaziri wasiwe wabunge na pia tuwe na idadi kamili iliyokubaliwa kikatiba ya mawaziri na wizara zao,na jinsi ya kuwapata na kuwaidhinisha ,muda si mrefu kwa huu mtindo tutakuwa na first lady waziri,mtoto wa presidaa naye waziri,nyumba ndogo ,mjukuu n.k.Nimefuatilia kampeni za uchaguzi mdogo igunga,mi sidhani kama ni sahihi kwa viongozi kama mawaziri kushiriki kampeni,sababu waziri ni wa watanzania wote bila kujali vyama.Nimewaona Wasira,Magufuli n.k.Wadau mnasemaje..
Nina hakika wanatumia raslimali za serikali kwenye kampeni.Anashiriki RAIS aliyechaguliwa na WATANZANIA wote itakuwa waziri ambaye kateuliwa na mtu mmoja tu!
Nimefuatilia kampeni za uchaguzi mdogo igunga,mi sidhani kama ni sahihi kwa viongozi kama mawaziri kushiriki kampeni,sababu waziri ni wa watanzania wote bila kujali vyama.Nimewaona Wasira,Magufuli n.k.Wadau mnasemaje..
Katiba ya Tanzania haiwakatazi kushiriki kwenye shughuli za kichama. Ikumbukwe kuwa mawaziri wote ni makada wa CCM. Hata kwenye kampeni ndogo za Marekani Hilary Clinton huwa anakwenda kuwapa nguvu CCM kwahiyo sioni tatizo lolote hapo
Tatizo ni pale wanapojazana kule kiasi kwamba anayegombea anafunikwa kabisa hasikiki tena. Kama RA na CCM ambao wamelishikilia jimbo hili tangu lilipojitenga toka Nzega miaka ya 70 wamefanya mema mengi hofu hii ya sasa inatokana na nini?Katiba ya Tanzania haiwakatazi kushiriki kwenye shughuli za kichama. Ikumbukwe kuwa mawaziri wote ni makada wa CCM. Hata kwenye kampeni ndogo za Marekani Hilary Clinton huwa anakwenda kuwapa nguvu Democrats kwahiyo sioni tatizo lolote hapo
Tatizo ni pale wanapojazana kule kiasi kwamba anayegombea anafunikwa kabisa hasikiki tena. Kama RA na CCM ambao wamelishikilia jimbo hili tangu lilipojitenga toka Nzega miaka ya 70 wamefanya mema mengi hofu hii ya sasa inatokana na nini?
Nimefuatilia kampeni za uchaguzi mdogo igunga,mi sidhani kama ni sahihi kwa viongozi kama mawaziri kushiriki kampeni,sababu waziri ni wa watanzania wote bila kujali vyama.Nimewaona Wasira,Magufuli n.k.Wadau mnasemaje..
Swali zuri zaidi ni kutumika kwa rasilimali za taifa kama vile magari, madereva na watumishi wengine wa umma katika shughuli za kampeni na uchaguzi.
utasikia mandela naye ametia timu hata kama ni mgonjwa lengo kudanganya wananchi kwa hiyo inabidi wale waongo maarufu watie timu
Mawaziri wote ni makada wa CCM, hivyo huwezi kuwazuia kushiriki kampeni za chama chao. Tatizo linakuja wanapotumia rasilimali za serikali kufanya shughuli za chama. Haiingii akilini Magufuli kwenda Igunga, (Na hapa anatumia gari la serikali na mafuta ya serikali), na kuahidi barabara iwapo mgombea wake atachaguliwa. Fedha inayojenga barabara ni ya serikali na si fedha ya CCM. Wana Igunga wana haki ya kujengewa barabara bila kujali kuwa wako CCM au CDM.Anashiriki RAIS aliyechaguliwa na WATANZANIA wote itakuwa waziri ambaye kateuliwa na mtu mmoja tu!
Katiba ya Tanzania haiwakatazi kushiriki kwenye shughuli za kichama. Ikumbukwe kuwa mawaziri wote ni makada wa CCM. Hata kwenye kampeni ndogo za Marekani Hilary Clinton huwa anakwenda kuwapa nguvu Democrats kwahiyo sioni tatizo lolote hapo
wanaenda kwa tiketi ya chama, haina tatizo