Waziri ananitaka kimapenzi

Watoto wa njiro hawana swagger kama hizo za kwako, we utakua tracy wa kambi ya fisi..
 
ww unapata fursa unachezea wenzako buguruni,shivas n.k wanaztafuta hizo chanc hawapat. tatzo hii umei2nga ningekushaur zaidi ingekuwa ni ya kweli
 
Uliona wapi mwanamke akatongozwa akasema katongozwa, unless awe anataka kutongozwa tu, yani unatuambia tukutongoze kiaina aian flani vile.
hivi kuna la ajabu mwanamke kutongozwa? hayo si ni maisha ya kila siku?
sasa kama kila siku ukitongozwa unakuja kumwaga hapa si thread zote hapa MMU zingekuwa za kutongozwa? au sababu mtongozaji ni waziri? kwani yeye si mwanaume kama wengine? after all leo waziri, kesho na kadhalika, what is a big deal? huu ni ulimbukeni
 
Eti nataka nkimbie nchi, bull shit ndo suluhsho?Hawa wanawke du,uckute mpz wng ww!Mmmh,nkigundue.......
 
Msameheni bure, anatamani sana kuwa na gari na kuwa na mpenzi mwenye wadhifa. Hallucinations zinamsumbua.
 
Kama uko Njiro itakuwa ni Six tu, hakuna mwingine huko. Labda Waziri wa njenje? angalia Nyota asikusikie.
 
Waziri wa chuo gani hicho mhh mpaka anafikiria kukuonga gari.Basi ujue anataka kule palipokatazwa usikute kaisha sikia habari zako tayari
 
Waziri, yule kijana wa mtaani kwenu au. Kama ni waziri kweli mchune tuu halafu sepa, huwa watu kama hawa wasiojiheshimu inabidi tu uwatolee uvivu.

sio amchune, bal wachunane waziri gan atakayekubal kuhonga gar then aingizwe mitin kwan amekua bint yake ampe gari la burebure kama zawadi ya birthday, its means atoe gari then achakachue...
 
Sijaelewa. Sijaelewa tatizo ni nini? Au ni kwa sababu yeye ni waziri ndio maana umeona ajabu. Binafsi sijaelewa wala sijaona logic ya kupost hy mada. Labda mada ingekuwa kuna Padre ananitongoza, ndio tungeona kuna cha ajabu.
 
hivi kuna la ajabu mwanamke kutongozwa? hayo si ni maisha ya kila siku?
sasa kama kila siku ukitongozwa unakuja kumwaga hapa si thread zote hapa MMU zingekuwa za kutongozwa? au sababu mtongozaji ni waziri? kwani yeye si mwanaume kama wengine? after all leo waziri, kesho na kadhalika, what is a big deal? huu ni ulimbukeni
Fixed point hapo point umezifixed sawa kabisa, yani hawezi kukosoa hata point moja hapo.






Ameota katongozwa na waziri na kuhongwa gari!
Utani pembeni hata mimi nadhani ndo vile, tena ndoto ya mchana bada ya kupiga ugali wa sembe na nshenene za mawese.
 
Back
Top Bottom