Waziri aliyenusurika kuchapwa viboko kwa rushwa wakati wa mwalimu JK Nyerere ninani?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Ukisikiliza hotuba maarufu ya mwalimu aliyoitoa pale Kilimanjaro hotel juu ya rushwa anataja simulizi ya waziri mmoja aliyekula rushwa na majaji wa kizungu wakamnusuru na adhabu ile je waziri huyu wa Sheria likuwa Nani?
 
Waziri huyo alikuwa wa Sheria na katiba miaka ya mwanzo ya utawala wa mwalimu.
 
Back
Top Bottom