Waziri aliyechakachuliwa na fataki

DR.Theresa Hovisa, huyo kigogo ni marehemu ali malima

...Ukiisoma ile piece utagundua hakuchakachuliwa. Aliamua ku-force mfano, of which i find disturbing.

...Sidhani kama anafahamu maana halisi ya fataki.
 
...Ukiisoma ile piece utagundua hakuchakachuliwa. Aliamua ku-force mfano, of which i find disturbing. ...Sidhani kama anafahamu maana halisi ya fataki.
Ni kweli mkuu, waziri mzima hajui maana ya fataki kwani jamaa angemfataki ina maana angemtekeleza.
 
kama ndiyo alimaanisha basi atakuwa na elements za umbumbu, fataki hawezi kumpa mimba mtu mzima kama yeye wakati huo halafu amsomesha mpaka kuwa na maendeleo aliyopata. Fataki yeye anafuata watoto wadogo wa shule kwa kuwadanganya na vitu vidogo kama chips etc ikitokea binti kapata mimba fataki anaingia mitini kabisa
 
By the way who is Dr Theresa Holisa???

Nyongeza tu ni kwamba, hili si eneo la udaku! Forum hii ni ya Siasa. Hii ya kuchakachuliana kimapenzi imeingiaje hapa!. Ipelekwe sehemu inayohusika. MoDs plse help!
 
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu ni mtu mzima, sasa hizi habari nyingine za kutaka sympathy kama vile mtu karubuniwa akiwa shule ya msingi au sekondari inaonyesha uwezo mdogo wa Waziri.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anaweza kuolewa, kuchukua likizo ya ujauzito etc bila matatizo, sasa anachotaka kusema ni nini hapa?
 
...Ukiisoma ile piece utagundua hakuchakachuliwa. Aliamua ku-force mfano, of which i find disturbing.

...Sidhani kama anafahamu maana halisi ya fataki.
Na yule aliyetafsili maana yafisadi ni mtu anayechukua wake za watu
Kazi kweli kweli
 
imekuwaje wadau? naona wengine hatuna data...!!! tunaomba tuwekwe sawa...!!!
 
Inaelekea kweli hajui maana ya fataki..... Fataki ni mwanaume au mwanamke mtu mzima anayependa wasichana au wavulana wadogo ili kukidhi haja zao za kimapenzi; fataki huwa hawajali future ya wasichana au wavulana hao. Wao wanachotaka ni kukidhi haja zao tu. Na fataki hao hawana mpenzi mmoja; leo atamchukua mwanafunzi huyo na kesho yule.......wao ni waharibifu tu........ Sasa huyo fataki wakukusomesha? Huyo sio fataki... mfano huo umepotosha maana halisi ya fataki. Mfano wa waziri ndio umewapa soko mafataki; maana wanafunzi waliokwama kuendelea na masomo kwa kukosa ada, watawatafuta mafataki ili wasomeshwe; hasa ukizingatia wazazi wengi hawana uwezo wa kuwaendeleza watoto wao kimasomo. Kama mafanikio ya fataki ndio hadi kuukwaa uwaziri!!!!!!!!!!!!!!!! Basi fataki imekuwa ni dili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
...ukiisoma ile piece utagundua hakuchakachuliwa. Aliamua ku-force mfano, of which i find disturbing.

...sidhani kama anafahamu maana halisi ya fataki.

mwambie huyu fataki unaingia king mwenyewe
 
ndo maana kapata uwaziri? maana chichiemu kupeta lazima uwe na mpiga filimbi
 
yes, ni lawrence gama.wakati naandika nilichanganya majina hayo.samahani sikukusudia.
 
Mpenda wasichana wa shule (siyo wa vyuo) ndo FATAKI,
Mpenda wavulana wa shule ni Mama MCHARUKO acheni kuchanganya mambo?
 
Back
Top Bottom