JAMII-ASM
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,305
- 524
Katika hatua ambayo ni ya kushangaza Waziri wa Mambo ya Ndani bila aibu alimuinamisha bodyguard wake ..na kumuamuru afute viatu vya Waziri mpaka ving'ae. Kitendo hiki alikifanya hadharani tena kwenye mkutano.Bodyguard hakuwa na namna.aliinama akafuta viatu mpaka vikang'aa. Kilichofanya ajulikane ni pistol aliyokuwa ameipachika kiunoni..kwani haikuwa siri tena. Kama kawaida waandishi wa habari hawakupoteza fursa hii ya udhalilishaji wa aina yake. Wakachukua video na kuiweka mtandaoni. Huyu waziri wa ndani wa Nigeria anaitwa Dambazau. Ukishalewa madaraka kinachofuata ndo hiki
Tazama video
Tazama video