singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Kweli kuna watu wenginehovyo saana.Kwanini mnakuwa wavivu wakuandika habari ili hali umeamua kuhabarisha?
Wizara ya waziri mzigo?Tatizo kubwa la wabongo ni wavivu sana!,hata kama ameelimika.Ni sawa na huyu mleta mada.
Mimba nyingi zinatungwa msimu wa krismas, hivyo usishangae.mimba bado changaa
Hao watakuwa mashemeji zangu wameenda kurejesha hesabu kwa wazee.Ngoja ni hiyo waliimba wenyewe kuwa 'mtaisoma namba'
Too brief to discuss.
unajuaje kama hili ni gazeti? Na kama ni gazeti lipi?Acha uvivu soma hiyo cutting ya gazeti.