Waziri adanganya walimu

tyadcodar

Senior Member
Aug 16, 2011
170
12
Tarehe 01 july 2011 ilifanyika sherehe ya miamba ya mitihani ya kidato cha sita 2011 miamba hiyo iliingia mjengoni dodoma na baadae jioni kwenye hafla kupewa zawadi kila mmoja laptop na fedha taslimu,kila shule husika ilipata milioni moja na ikatangazwa kila mwalimu wa somo husika atapata cheti na laki 5,jambo la kusikitisha inaonesha serikali wamedanganya walimu mpaka sasa katika utafiti wangu hakuna mwalimu aliyepata fedha hizo na kama amepata kapunjwa,je tutafika?hawa walimu watakuwa na moyo wa dhati kama kauli za serikali tena za waziri si kweli,jamani tuwaonee horuma walimu
 
Back
Top Bottom