Wazir Mwakyembe, Kigwangalla na Kabudi naomba mlichukue hili

Private investigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
303
287
Aston Villa wametupa njia kumsajili Samatta.
Usajili huu uwe chachu kwanza

1. Kusaidia wachezaji wa Kitanzania kupata timu England maana ndio ligi pendwa. Chakufanyika kwa Mwakyembe ni kuhakikisha Vilabu vya nje na ndani vinavyowatumia Watanzania visiwe kikwazo kwa wachezaji wao kwenda England.

2. Kabudi ni kuhakikisha ofisi za kibalozi za ndani na za Tanzania haziwi kikwazo kwa wanamichezo na ikibidi zisimamie hatua zote mwanamichezo kutoka nje ya Tanzania.

3. Kigwangalla awatumie watanzania wote wanamichezo walio kwenye mataifa mengine kuwa mawakala wa utalii katika kila hatua wanayopiga. Mf mavazi yao, birthday bilbod zao na even personal event zao ziibebe Tanzania.


Kwa Uziada japo si kwa ulazima Rais anaweza kuwaalika ma-CEO wote ambao nje ya nchi wapo watanzania katika taasisi zao. Mfano kuwaalika Aston Villa, man city, Benfica, Riadha nk kwa shukrani pale ikulu.

Kubwa kuliko yote Mwakyembe aanzishe akaunti maalumu ambayo mtu anayetaka jezi ya Samatta ya Aston Villa Original from Villa Park atume pesa na ikibidi jezi zinunuliwe na Ubalozi kuwaletea walitoa oda.
Kwa kufanya hivyo vilabu vingi vitaona manufaa kusajili mtanzania.


Mtanzania from Mwanza.
 
Huwezi kupata nafasi ya kucheza nje kama hujitambui
Asilimia kubwa ya wa,hezaji wa kitanzania hawajitambui
 
Back
Top Bottom