Wazinza kumbe si Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazinza kumbe si Watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RUTAJUMBUKIRWA, Dec 29, 2009.

 1. RUTAJUMBUKIRWA

  RUTAJUMBUKIRWA Senior Member

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Law Masha, waziri wa Mambo ya Ndani ni Mzinza, na utafiti was Wazungu unaonyesha Wazinza ni Watutsi.
  Mdau yetote aliyeko London aende maktaba ya Royal Geographical Society atafute kitabu kiitwachwo 'Journal of Discovery of River Nile' na asome walichokiandika explorers waliopita tabora, uzinza, karagwe na uhaya:

  Nimepitia hiyo journal nikagundua baaadhi ya makabila ya Tanzania kama Wazinza si Watanzania asilia.
  Someni:

  History of Wahima, By John Hanning Speke

  Most people appear to regard the Abyssinians as a different race from the Gallas, but, I believe, without foundation. Both alike are Christians of the greatest antiquity. It is true that, whilst the aboriginal Abyssinians in Abyssinia proper are more commonly agriculturists, the Gallas are chiefly a pastoral people; but I conceive that the two may have had the same relations with each other which I found the Wahima kings and Wahima herdsmen holding with the agricultural Wazinza in Uzinza, the Wanyambo in Karague, the Waganda in Uganda, and the Wanyoro in Unyoro.

  In these countries the government is in the hands of foreigners, who had invaded and taken possession of them, leaving the agricultural aborigines to till the ground, whilst the junior members of the usurping clans herded cattle.

  Although, however, this very interesting people, the Wahima, delight in supposing themselves to be of European origin, they are forced to confess, on closer examination, that although they came in the first instance from the doubtful north, they came latterly from the east, as part of a powerful Wahima tribe, beyond Kidi, who excel in arms, and are so fierce no Kidi people, terrible in war as these too are described to be, can stand against them.

  This points, if our maps are true, to the Gallas - for all pastorals in these people's minds are Wahima.

  This is the most southerly kingdom of the Wahima, though not the farthest spread of its people, for we find the Watusi, who are emigrants from Karague of the same stock, overlooking the Tanganyika Lake from the hills of Uhha, and tending their cattle all over Unyamuezi under the protection of the native negro chiefs; and we also hear that the Wapoka of Fipa, south of the Rukwa Lake are the same. How or when their name became changed from Wahima to Watusi no one is able to explain; but, again deducing the past from the present, we cannot help suspecting that, in the same way as this change has taken place, the name Galla may have been changed from Hubshi, and Wahuma from Gallas. But though in these southern regions the name of the clan has been changed, the princes still retain the title of Wahinda as in Karague, instead of Wawitu as in Unyoro, and are considered of such noble breed that many of the pure negro chiefs delight in saying, I am a Mhinda, or prince, to the confusion of travellers, which confusion is increased by the Wahima habits of conforming to the regulations of the different countries they adopt. For instance, the Wahima of Uganda, uzinza and Karague, though so close to Unyoro, do not extract their lower incisors; and though the Wanyoro only use the spear in war, the Wahima in Karague are the most expert archers in Africa. We are thus left only the one very distinguishing mark, the physical appearance of this remarkable race.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Mbona makabila mengi sana yana asili ya nje ya nchi yetu?
  Wasukuma asili yao zaire, wangoni south afrika, wajaluo asili yao sudan, wamasai aili yao ethiopia, walambya asili yao zambia....
  Wote kwa pamojatunaifanya tanzania na tunajivunia kuwa watanzania.
  Hii mipaka iliyopo leo tumewekewa tu na hawa wakoloni..
  Afrika ni moja na sisi sote ni ndugu.
  Tupendane
   
 3. B

  Bull JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni nani Mtanzania asilia?
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  WAGOGO Hupendi au Hutakiiii??


  Ila hapo kwa swala la mtanzania jamani mtaleta shida Uchaguzi mwakani esp kanda ya Ziwa nikianza na jimbo la Nyamagana Mbuge wao ni Mzinza na sio msukuma hapo ni kasheshe kweli kweli.

  Nadhani hapo kuna kanjama kanaundwa sasa ili kumtoa mbunge wa Nyamagana ndiko dalili inapo elekea.

   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Hizi issue za makabila mbona naziona kama hazina deal...haisadii lolote kujua asili ya mtu haikuwa Tanzania. Inamaana tutawafukuza? Waende wapi?
   
 6. m

  matambo JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa nae atwambie yeye ni kabila gani,isije kuwa awasema wenzie ilhali nae si mtanzania?
  by the way mtanzania halisi hakuna kwani before 1884 hakuna taifa duniani lililokuwa likiitwa tanzania
   
 7. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ukiongea utaifa wa makabila ambayo yamekuwa kwenye ardhi ambayo hivi sasa inaitwa Tanzania kwa miongo kadhaa kabla ya nchi yenyewe haijakuwapo unajifunga katika utupu wa kukosa kuelewa uasili wa makabila haya unavyolinganishwa na uasili wa mataifa haya.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Ila naona kuna watu wanaamini wao ndo warithi halali kuliko wengine wa nchi hii bila kuwa na sababu za kutosha za kuhalalisha hoja hiyo.Ukiona karne hii mtu anafikiria kumfukuza mwenzake kwasababu eti kabila lilihamia kutoka sehemu nyingine basi ujue lipo tatizo kubwa la kimtazamo. Sidhani dunia ya leo kabila langu litanipa uhalali wa kufanya mambo popote pale, nisipokuwa na mambo yale walimwengu wa leo wanayoyahitaji.
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mnaleta Ukabila ndani ya JF Mtakuja kusema kuwa hata hao Wazanzibar pia si Watanzania sasa mambo ya ukabila Baba wa Taifa aliyapiga vita sana mpaka Baba wa Taifa akauuwa Uchifu hakuna sasa Tanzania mambo ya Uchifu Watanzania wote ni wamoja naona sasa JF imeingiliwa na Wakenya wanaopenda mambo ya Ukabila Tafadhalini jamani tuache mambo ya ukabila ndani JF yetu kama hamna mambo ya Kuzungumza bora mnyamaze kimya Mbona nimesikia alaiyekuwa Rais Mkapa naye hatuki Tanzania mbona alitutawala? na kesho Mtakuja kusema kuwa hata Baba wa Taifa si Mtanzania Acheni ukabila wenu jamani
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kabila ambalo lina asili ya sehemu inayoitwa Tanzania leo ni lipi hasa?

  Wabantu wote, ambao ni asilimia kubwa ya Watanzania asili yao nyanda za Jos huko Nigeria kaskazini mashariki na Cameroon kusini, hao wanilotic wametoka kaskazini, wangoni wametokea South Afrika baada ya Mfecane, hao Wayao wametokea Malawi and so on and so forth.

  Sasa kama tunataka kurudishana tulikotoka si nchi itabaki tupu?
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Dec 30, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280
  kumbe wazinza, nilisoma vibaya nilifikiri wazinzi
   
 12. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Ukienda Malawi utaambiwa wayao wa malawai asili yao TAnzania, ukienda Zambia utaambiwa wanyamwanga asili yao Tanzania, hata Kenya Uganda, visiwani na hata kwenye baadhi ya nchi Afrika ya kati kuna watu wanasema asili yao ni Tanzania. Kuna wengine ni wazi kabisa tunajua asili yao ni India na Ulaya lakini ni watanzania, so this wazinza thing does not mean anything.
   
 13. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2009
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160

  Hakuna kuwafukuza. "RA" ni mnyamwezi, mzalendo mwenzetu. Rais mtarajiwa 2015
   
 14. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Wewe mleta mada njaa inakuuma inaonekana hujala udaga na furu siku nyingi. tehe tehe...

  siku nyingine ukileta mada kama hii hakikisha umeshiba kwanza furu, michembe na ugali wa udaga. halafu ulete hoja unayoweza kuitetea. hata Mhe. nanii walisema sio Mtanzania sasa Mtanzania halisi ni yupi? Asili yetu wote tumetokana na Adamu na Eva a.k.a Hawa. ila wakati wa ujenzi wa babeli ndipo watu walichafuliwa Lugha moja waliyokuwa wanaongea ndio wakatokea wazinza, wayao, wabrushi n.k. halafu wale waliokuwa karibu na Ikweta wakawa weusi ti na nywele za kipilipili na wale waliokuwa mbali kidogo wengine wakawa weupe pe na nywele ndefu laini. wengine wakawa wafupi pi, wengine warefu fu, wengine wanene ne na wengine wembamba mba, wengine kwao jua linawahi kutoka , wengine linachelewa kuzama, wengine halitoki kabisa, wengine wako kwenye barafu, wengine wako kwenye ukame, wengine kwenye jangwa, wengine kwenye joto, wengine kwenye baridi, wengine kwenye vumbi, wengine kwenye mvua, wengine kwenye njaa na wengine kwenye shibe. Je asili yetu ni wapi?

  Mipaka imewekwa na wakoloni lakini yote kutokana na masilahi yao na ndio dunia hivyo wakati wanachora ile mipaka ukikukuta uko huku basi wewe ni wa huko. hata kama ulikuwa unataka kuwa upande ule mwingine. hivyo kwa kuwa ule msitari umekukuta uko kwingine pengine ulivuka kwenda kununua nyanya umetumwa na mama then mama yako naye msitari ukamkuta kule kwingine basi ilikuwa hairuhusiwi tena kurudi kule kama mtu wa kule, tehe tehe ........ ukirudi kule inakubidi uvuke msitari na uingie kama mgeni na ukitaka kubaki huko basi uombe uraia wa kujiandikisha kwa taratibu maalumu hata kama baba na mama walibaki hukoo ng'ambo. Basi ndio hivyo imebaki sisi wajukuu wa leo kusema mbona huyo kawa mzinza, yule kawa mmakonde n.k kwa sababu hatujui chimbuko na athari zilizotokana na mipaka iliyowekwa na hao wataalamu. n.k

  Ni bora tujifunze kufanya utafiti kabla ya kuanza kulaumu Adamu na Hawa maana mwisho tutawauliiza maswali mengi wasiyoweza kutujibu mtataka kujua kwa nini wengine weupe wengine warefu, ilikuwaje sisi tukawa Aafrika wengine wakawa Ulaya, tutaambiwa oh wakati dunia inajizungusha katika muhimili wake ilikuwa inajizungusha kwa kasi sana hivyo misitari wakati inachorwa ilikuwa vigumu kuinyoosha ilikuwa lazima ipindepinde ndio maana wengine wakapata sehemu kubwa, Rwanda wakapata padogo, zaire ikawa kubwa, Wasukuwa wakawa wengi, wairaki walikuwa kidogo, ahaaaaaaaaaaaaaaa so complicated. na bado hamtaridhika mtauliza na kuuliza na kuuliza jibu litakuwa ni sayansi ya dunia na maendeleo ya teke lililotujia. Ila kwa elimu ya Mbingu Mungu alimuumba Adamu kwa mfano wake na akamuumba Eva kutoka katika ubavu wa Adamu. akasema zaeni mkaijanze nchi.

  ndio tukajaa na kujaa na kujaa mpaka tukamwagika. sasa wale waliomwagika inategemea ulimwagikia wapi kama ulimwakigia kwenye udongo mzuri utazaa vizuri, kama ulimwagikia kwenye michongoma utasongwa na michongoma we mpka utakoma, kama ulimwagikia kwenye barafu utakuwa kibarafubarafu, kama ulimwagikia kwenye udongo wenye mbolea utasitawi vizuri na kama ulimwagikia kando ya bahari ukuwa kipwanipwani, na kama ulimwagikia kwenye giza basi utakuwa kigizagiza na akili finyu na kama ulimwagiia kwenye nuru basi utakuwa ki-bright bright. hahahaaa.. just kidding.
   
 15. nzehe

  nzehe Member

  #15
  Dec 30, 2009
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 94
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Nafikiri mwandishi ungefanya utafiti pia kujua kwamba je kabla ya partition of africa 1884 na baadaye baada ya kushindwa kwa wajerumani vita vya kwanza vya dunia Rwanda na Burundi zilikuwa ziko wapi?
  Nchi Hizizote zilikuwa sehemu ya Tanganyika au Deustch ostaafrica kwa hiyo basi basis ya u-Tanzania wa wazinza iangaliwe hapo
   
 16. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli.. Habari za ukabila au utanzania tumuulize Abdulrahman Kinana, Benjamini Wiliam Mkapa, Jenerali Ulimwengu, Idd Simba, David Mataka, Joseph Mungai, the list is endless!!!! Endeleza .........
   
 17. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ingawa tunaitwa wafuata upepo, hili la UKABILA HATULIFUATI!
  Tuna mengi ya kuyatatua, ukabila hatuangalii. Tuko bize kutoa mwiba wa tak*ni ili tuweze kukaa kisha tutoe wa mguuni, ndipo tuweze kutembea vizuri kuelekea kwenye maendeleo.
  Mkuu, kwa hapo hutupati!
  Shime shime Wazinza, wamakonde, wasukuma, waha na makabila yote yaliyoko Tanzania....tujengeni nchi yetu!
   
 18. R

  Rubabi Senior Member

  #18
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 30, 2006
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mulangira Rutajumbikirwa.

  Wazinza ni watanzania/wabantu kama walivyo watutsi, wanyamwezi, waswahili na kazalika.Rejea mada yangu ya Historia ya wahaya kwenye mtandao wa elimu. Hili lilikuwa wazo pungufu la wakoloni ambao walifikiri watusi/wazinza walitoka ethiopia kutoka kabila la waoromo/galla na kuja kutawala wabantu. Modern science imeprove 100% kwamba watutsi/ wazinza na wabantu ( makabila yanayoongea lugha za kibantu) ni ndugu kabisa na watusi hawakutoka ethiopia bali ni moja ya sections za Bantu immigration. wabantu wote kwa mfano waswahili, wazulu, wahaya, wasukuma n.k wengi wao ni haplotype E3a (yaani hii ndio genetic marker ya makabila yanoongea kibantu) wakati makabila yasioogea kibantu kama waoromo, tigriya /habeshi wa ethiopia wao wanaongea cushitic/ semitic languages hao wengi wao ni haplotype E3b.Hizi E3a na E3b hizi zote ni genetic marker za waafrika na wala hazihusishi makabika yanayotoka nje ya afrika.

  Jiadhari na colonial anthropology za kina speke, hizi ni fantasy tu hazina ukweli wowote.

  Kwa hiyo wahuma/watusi/wahinda au majina yote wakoloni waliowaita watawala wa Buhaya/uganda/karagwe ni Wabantu kama koo nyingine kanda ya ziwa na hawana uhusiano WOWOTE na Ethiopia.This has been scientifically been proven!
   
 19. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2015
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Na wakati huu wazinza ni akina nani kwa majina maarufu katika nchi yetu hii yenye wingi wa makabila?
   
 20. l

  lingw'ina Member

  #20
  Jul 17, 2015
  Joined: Nov 14, 2014
  Messages: 97
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Mimi ni mngoni ni Mtanzania ingawa asili ni Afrika Kusini
   
Loading...